Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Ila Mkuu kile kichapo kilikuwa heavy. Jamaa waliwaotea sana. Sidhani kama ulilala na kupata usingizi siku ile!
 
Timu ndogo inapoifunga kubwa lazima kuwe na excitement kubwa sana.Naamini kwa jinsi walivyoshangazwa,hadi mwakani midomo yao itakuwa inatamka 5 tu.

Wakikuwa wakubwa wataacha kwani watakuwa wamezowea,wataona ni vitu vya kawaida.

We si unaona siku hizi hawazipokei timu ngeni zinazokutana na Mnyama wakija bongo.Wanaanza kuzowea kidogo kidogo.

Wataacha tu bloangu.
 
5 nyingi wacha muwehuke kwa uchungu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Na bado, mnara unasoma Manzese leo.
 

Attachments

  • FB_IMG_1700045242071.jpg
    39.7 KB · Views: 1
Kuna utawala fulan unawekwa, yaan yanga inakuwa kama ipo peke yake
 
Hata hvyo hatufanyi kwa ajili ya South,Rwanda au kenya
Hii ni bongo tukijadil hapa inatosha
 
Kolo kolo koloooooo,Tulia dawa ifanyekazi
 
Tulia dawa iwaingie. kwa hiyo unataka tufuate kile wanachofanya Simba wakifunga 5?. Kila timu na style. VIPI KUINGIA NA JENEZA UWANJANI...! Au hilo hukuliona? Ila YANGA ndio hawana maamuzi yao,wafuate ya mikia?. Kaa hivyo hivyo dawa ukuingie
 
Hizi tano zinawauma sana BATAWAHED nyie na tutazipublish dunia nzima kama itawezekana, nyie endeleeni na slogan yenu ya kujiita wakubwa kinadharia huku vitendo sufuri.

Na msimu huu kwenye champions brek ya kwanza nusu fainali
 
Kibiashara zaidi!

idea ya kibabe hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…