Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Hiyo ni fursa
Wanajua kabisa wanachofanya kibiashara iko poa mno
Mimi nawasifu watu wa habari wa yanga wamekuwa wabunifu mno
Anzia kwa
Max day
Azizi ki day
Supu day
Kila tukio hawaliachi
Kwa kifupi ni wabunifuno

Sent using Jamii Forums mobile app
Mihogo day,
Ugali na Sukari day,

Wananchi kila jambo kwetu ni fursa, wenye wivu walie tu kisha wavumilie.
 
Tulia dawa iwaingie. Wewe unataka tufuate kile simba wanachofanya? Au YANGA tufanye yetu,na nyie mufanye yenu?. VIPI SIMBA WALIVYOINGIA NA JENEZA UWANJANI...!. Ksbb ni Simba hilo lilikuwa sawa?. Hivi ndio tumeanza kusikia mlio. Bado
 
Ndio ni mazuzu FC...
Malimbukeni FC..
Supu FC...
vibudu FC....
Mabango FC....

Acha tushangilie
Acha tushangilie ushindi wewe. Tutaendelea kusherekea huu ushindi hadi Mseme po.
 
Na sponsers wanapata mileage ya matangazo. Kwa Plan hii sponsers wanaweza miminika mwakani kwani wanapata uhakika wa publicity na kazi hito Yanga wanaiweza. Hongera kwa mikakati. Ndiyo uzuri wa kuwa na viongozi vijana.
 
Kwani hujui maana ya utopwinyo????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujathema. Nautathema tu[emoji1787]
 
Wewe utakuwa wa tatu huko Yanga waliobakia wote ni majuha tu ndiyo maana wamelishwa vibudu vya ng'ombe wa kafara
 
Hiyo ni fursa
Wanajua kabisa wanachofanya kibiashara iko poa mno
Mimi nawasifu watu wa habari wa yanga wamekuwa wabunifu mno
Anzia kwa
Max day
Azizi ki day
Supu day
Kila tukio hawaliachi
Kwa kifupi ni wabunifuno

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabwili Day wote mvae Shanga
Mama J Day wote mvae vijola
..............
...............
...............
 
Nasikia ziko kiwandani jirani...usiniache na mm bila kunipiga nayo niwe naogea japo 🀣 🀣 🀣
Yani ufanye ufutio wa maji ya kuogea πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukipigwa nayo unavaa na mosimo zako za kijani au njano mambo mswanu kabisa
 
Maana yake Club kwenye idara ya creativity haina watu wasomi wa kuumiza kichwa kuifanya Club iwe midomoni mwa watu kwa kubuni vitu vya msingi vinavyoenda kuifaidisha Club.
Club ya football, so creativity inaanzia kwenye mzinzi wa football ambao hizo 5 zimefaa sana.
Usitupangie matumizi ya bao zetu
 
Mpaka mtasema mkuu.

Sisi wenyewe hatuna tatizo, watuwekee Bango lingine huku Tunduma Boarder aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…