Kwenu Walimu, hii inawezekana au mawazo yangu ni ya kijiweni tu?

Nimekosa ajira ya ualimu mwaka wa nne sasa mwaka jana 2019 niliweka pembeni vyeti vya ngumu vyaBsc geography and physics nikaziungam kozi ya miezi miwili ya motor grader operator sijawahi kujuta
 
Kakopi na kupest......aliponiuzi zaidi ni wakati anasema yeye angekuwa anauweza ualimu.........Anafikiri wote walienda ualimu Kwa kuwa wanauweza ....
usipothibitisha wapi nilipo copy,naomba utajichagulia kundi

la aina ya watu kama wewe mnatakiwa muwe kundi gani na

ukiweza thibitisha wapi nilipo copy,Nipewe BAN ya mwaka.
 
Ni wazo zuri lakini ili wazo ulilotoa apa sidhani kama walimu hawakulifanyia Kazi mkuu. Mana kwa ugumu huu wa maisha ya sasa watu wanatafuta kila mbinu ili tu waweze kujikwamua.

Hiyo laki tano si kwamba eti unaipigia tu mwisho wa mwezi napata laki tano naweka kibindoni, ina mana huyo mwalimu hali, anywi, hana familia inayomtegemea kwa kila siku inahitaji matumizi?. Pango je atalipia nini?

Alafu kuwapata hao watu kwa hiyo hiyo shng mia ni mtihani vile vile. Ingekuwa ni kitu rahisi bs mtaani kusingekuwa na walimu wanatafuta ajira, wangekaa mtaani kwao na kuanzisha tuition. Kuna mitaa ipo kama sumu, ubaguzi ndio nyumbani kwao, hupati kitu.

Huwa nakukubali mkuu kwa kwa mawazo yako, unatoaga mawazo mazuri sana na yenye mafundisho. Ila kwa wazo ili mkuu si rahisi kama unavyofikiria. Si kitu chepesi, walimu kibao wapo mtaani na izo mbinu nafikiri walishazitumia. Nazidi kusoma elimu zako unazozitoa jukwaani.
The Most Winner
 
"Hivi umesomea u pilot unaanzaje kujiajiri? labda ukajirushe juu ya dabo deka hadi chini sijui utajilipaje hapo,ACHENI BANA NYIE WALIMU shida yenu ni moja tu na wengi wenu hii ndio inawamaliza na mkiendekeza hili neno la "nitaonekanaje/watanichukuliaje/Aibu" mtakufa maskini."

"Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…