Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

Pole sana mkuu yote ni mitihani tu ya maisha yetu hapa duniani maana tunapita i know hali unayopitia mke wangu alimpoteza baba yake(yetu) nov mwaka jana mpaka leo bado hajarecover so nakuelewa
 
Pole sana Mungu akupe ulinzi kwny kipindi hiki kigumu unachopitia tunakupenda sana,na tupo pamoja na ww yote ni mapito.
 
Pole sana kipenzi nimefurahi kuona walau umefarijika. Tuendelee kumuombea mzee wetu apumzike kwa amani. [emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24]
 
Pole Sana Saint Anne kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na baba naelewa Ni situation gani unaipitia ..hisia,majonzi nk Lakin nakuombea kwa Mungu wetu Alie hai akuvushe salama katika kipindi hiki kigum.
Ni kipindi unahitaji faraja na sisi tuko pamoja na wewe..!
Mungu alitoa na Sasa amechukua
Jina lake lihimidiwe.
Amen
 
Neno la Mungu linasema lieni nao waliao, huzuni ikishirikishwa Faraja inaongezeka, na furaha ikishirikishwa inakuwa furaha maradufu, Mwanangu saint Anne nikuache na neno moja kuwa kuna makusudi ya Mungu katika kila jambo.

Ni kweli baba ameondoka lakini siyo mwisho wa maisha, maisha lazima yaendelee na Mungu atakufungulia mlango mwingine, kwani yeye ni baba wa Yatima.

Futa machozi, jitie nguvu , simama tena na usonge mbele, wote ni wake na kwake tutarejea.
 
Mungu akutie nguvu kipenzi, cha kufanya sasa ni kumuombea baba apate pumziko zuri la milele. Jikaze mana mtihani unaopitia ni mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…