Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

Pole Sana Mkuu,Mungu mwenye huruma na upendo mwingi akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.Pia tumwombee mpendwa wetu ili Mungu ampumzishe kwa amani.
Amen.
Akhsante kwa faraja na maombi.
 
Ashukuriwe na kuabudiwa,kazi yake haina makosa,naye atabaki kuwa Mungu,pole sana endelea kumuomba Mungu akutie ujasiri wa kusonga mbele....
Amen.
"Nina dhiki na maonjo?
Nina mashaka pia?
Haifai kufa moyo
Maombi Asikia

Hakuna mwingine mwema
Wa kutuhurumia
Atujua tu dhaifu
Maombi asikia.

Yesu kwangu ni rafiki.
 
Pole sana!
 
Mkuu nakupa pole tena. Hiki ni kipindi kigumu sana kwako, stay strong, katika maisha tumeumbiwa nyakati mbili; furaha na huzuni, lakini ndiyo moment zinazofanya maisha yakamake sense. .
Vilevile, jitahidi kumuenzi na kumkumbuka kwa mazuri yake. Hapo itakupa faraja sana. Na ukumbuke tu, tunawapoteza ndugu zetu na marafiki physically lakini tukiendelea kuzienzi kumbukumbu zetu, watu hao wataishi kwenye nafsi zetu daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…