Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana
Nawatakia sikukuu njema ya MEI MOSI
Kama umesha fanya utafiti wakutosha kuhusu mambo hayo, utajua ukweli kuhusu jambo hilo kuwa wanaokwenda kwenye maombi wengi wanawake na sio wanaume, fanya utafiti utajua ukweli
Kwanini wanaume tu? wewe huhitaji pesa? au wanaume ndo "chuma ulete" wako? Na wewe pambana
nauomba huo mstari kwenye Biblia sasa hivi.
This is an equation of the year, you made my day GyoleKupambana + maombi = mafanikio
aah wapi, hao ni wanaume wa mkoani waliokuja Dar hivi karibuni wakifikiri mambo ni kitonga
Tena shida yao kubwa ni wapate wanaume. Tehe tehe...Kama umesha fanya utafiti wakutosha kuhusu mambo hayo, utajua ukweli kuhusu jambo hilo kuwa wanaokwenda kwenye maombi wengi wanawake na sio wanaume, fanya utafiti utajua ukweli
Yamekukuta! Sasa kwa nini ujilazimishe kuishi naye? Nachukia unafiki sana[emoji23] [emoji23] yanaudhi
Al MujeebMungu anajibu Maombi.