Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana
Nawatakia sikukuu njema ya MEI MOSI
MUNGU NDIYE ANAYEJALIA WATU KUPATA PESA!!!!