Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Furaha ..kwamba tako sio kigezo cha ndoa ..weupe sio kigezo cha ndoa ...hips sio kigezo cha ndoa maana wengi wenu ndo mna mentality hyo kumbe wala
Kwani kuna watu Wana mentality hiyo?
 
Kwani kuna watu Wana mentality hiyo?

yaaah ndio mana wanaenda kuongeza matako na kubust manyonyo, japokuwa hii inasaidia kwa mwonekano mara ya kwanza mtu anavutiwa na wewe ila mzigo ukiwa mbovu hakuna namna atakaa hata uwe mwema kiasi gani, WANAUME TUNAJIJUA...
 
Hivi ile dhana ya ndoa kabla ya mapenzi hivi bado ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…