Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Sasa wana mnataka kodi alipe mwingine, saluni alipie mwingine, nguo nzuri amnunulie mwingine,unadhani ukigonga tissue atanunua nani za kufuta uchafu wako, je nani atanunua pedi?
wewe unataka jukumu la kugonga tu sasa kama ni hivyo demu wako au mkeo si utagongewa kizembe sana na waongaji?
Mwanamke mtu wa ajabu sana anataka vyote, game anataka ile ile na hela anataka,tuache uoga, haikwepeki.
Kuhudumia ni muhimu ila ufanye kwa hiari sio kwa mashinikizo. Mwanamke anatakiwa akukirimu mpaka ujiskie kumfanyia mambo mazuri kama shukurani ya kuwa na wewe.
 
Hivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku hiyo hiyo alitaka tuonane na aje napoishi nikapiga chini,,,,,,nachotaka kusema nikuwa wanawake wanaotaka kuolewa in wengi mno ila wenye sifa za kuolewa ni wachache mno
[/QUOTE]Kweli kabiss
 
Ndo shida ya kuolewa na James delicious au aunt omari au Kelvin shangingi unategemea nini sasa
Walio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada umesahau tunao amua kuoa ni sisi na sio nyie na kuna wengi wanafikia kipindi hayo hawaangalii mfano wale wa mlima moto washajitoa muhanga yoyote yule aje awe pimbi au jamaa anajipu kwenye mgongo awe mfupi mwenye chogo na vinyoleo puani halafu ana hips yote sawa wanaona

Ndo maana asie na kazi maskini anaoa kuhusu upendo siku hizi bado arranged marriage zpo mtapendana mbeleni kwa sababu sisi ndo tunanguvu kubwa ktk kuchagua ktk ndoa sio nyie
 
Habarini , hopefully mpo salama

Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi
Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27]

Kwa dada/mwanamke aliyekamilika atazingatia yafuatayo:-

1 .Kazi
Mwanamke kabla hajaamua kujenga malengo na wewe ataangalia kwanza nini unafanya
Kwa hiyo kitu unachofanya Ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano yaliyo mema

Rejea kwa Adamu,Mungu alimpa Adamu kazi ya kuitunza bustani ya edeni
Alimpa Adamu bustani ya Edeni ailime na kuitunza
Baadaye ndipo alipomfanyia msaidizi wa kufanana nae.Adamu hakupewa mwanamke kwanza kabla ya kupewa kazi Bali alipewa kazi ndipo akapewa mwanamke

Mwanzo2:15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu,akamweka katika bustani ya Edeni,ailime na kuitunza

Mwanzo2:18-25
Hapa Mungu anamtwaa mwanamke katika ubavu wa Adamu

2 .Maono
Una Maono gani juu ya maisha !?
Mithali23:7
"Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Maono Ni Kama framework ya kila kitu unachokifanya
The more you see the more u succeed
Usipobadili unavyojiona huwezi badili unavyoishi.maono hutofautisha mtu mmoja na mwingine

Mith 29:18@
Pasipo Maono watu hushindwa kujizuia

Wanawake wengi pia huangalia
mwanaume aliye na maono,bila Maono huwez panga vizuri namna gani uishi.,lipi ufanye lipi usifanye

3.Akili
"Ishi na mwanamke wa akili"kifungu nitaleta.
Wanaume wengi hawana akili kabisa ya kuishi na mwanamke
Imeandikwa mwanamke ishi nae kwa akili

Wengi hawajui kuishi na wanawake kwa akili,matokeo yake Ni mahusiano kuvunjika

Jitahidi mnapoomba ombeni pia akili za kuishi na mwanamke kwa akili

4.upendo
Mwanamke anahitaji upendo
Anahitaji kupendwa haswaa
Wanawake tunapenda wanaume wanaotupenda kwa dhati .katika upendo Kuna mambo mengi..Kuna uvumilivu,upendo haujivuni,haujisifu,hautakabari,haukosi kuwa na adabu,haufurahii udhalimu,hustahimili yote,hufurahi pamoja na kweli nk

Ukiona mwanamke amefanya kitu ambacho si kizuri
Unashindwa kumuelekeza unakaa kimya Basi wewe huna upendo

Ukiwa na upendo hutaweza mdharirisha mwanamke wako kwa namna yoyote (kuwa na Adabu ambayo Ni moja ya sifa za upendo)

Itaendelea
Nawapenda[emoji8]View attachment 1005565

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakupenda pia japo haukuendelea tena
 
Sasa wana mnataka kodi alipe mwingine, saluni alipie mwingine, nguo nzuri amnunulie mwingine,unadhani ukigonga tissue atanunua nani za kufuta uchafu wako, je nani atanunua pedi?
wewe unataka jukumu la kugonga tu sasa kama ni hivyo demu wako au mkeo si utagongewa kizembe sana na waongaji?
Mwanamke mtu wa ajabu sana anataka vyote, game anataka ile ile na hela anataka,tuache uoga, haikwepeki.
Inakwepeka sana. Fahamu ya kuwa wakati wewe umejipa majukumu ya baba mzazi kwa mwanamke wako. Kuna kidume kingine kimejipa majukumu ya mtoto kwa mwanamke wako kinapiga buuuure kabisa na kugaiwa za kwako plus mshahara.

Nikifanya vyote hivyo yeye analeta nini kwenye penzi letu mbali na puchi? Usiseme kufua, kupika etc hivyo i can pay for. Yaani namaanisha kwenye mapenzi nikitoa puchi yake what else can she offer? Kama hakuna why bother?
 
Mtoa mada umesahau tunao amua kuoa ni sisi na sio nyie na kuna wengi wanafikia kipindi hayo hawaangalii mfano wale wa mlima moto washajitoa muhanga yoyote yule aje awe pimbi au jamaa anajipu kwenye mgongo awe mfupi mwenye chogo na vinyoleo puani halafu ana hips yote sawa wanaona

Ndo maana asie na kazi maskini anaoa kuhusu upendo siku hizi bado arranged marriage zpo mtapendana mbeleni kwa sababu sisi ndo tunanguvu kubwa ktk kuchagua ktk ndoa sio nyie
Sijasahau

Kama umesoma vizuri nimeandika kwamba wanaume hupata shida wakati wa kuoa/kuchagua wenza.
 
Kwa wanawake, kuwa na vigezo vyooote, kama tako sijui shepu nzuri, nywele ndefu, unajua kuvaa, ila kama kidudu chako sio kitamu majamaa wajanja watakukimbia, All in all lazima puc iwe tamu yan pale ndio mwisho wa matatizo, Ndio mana wanaolewa vyeusi mangala na wanamiflat screen yao, wene matako makubwa tunashinda nao kwene mabar makubwa makubwa tunawachezea matako tunawakimbia ifikapo saa nane tunarud kwa vimbaumbau vyetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....ANGALIA HARUS NYINGI WANAOOLEWA UTASHANGAA, unajiuliza baharia kakwama wapi, KUMBE UTAMU
 
Back
Top Bottom