Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza watu wanaongea points,embu kaa kwa kutulia ufundishwe vitu
Hakuna cha dream wala nin wanataka material things hao wanawake wa dream ni wa kwenye moviemen must have a dream and a women always follows a men who wants something in his life,
always in any relationship women start to look in small issues always matter to them if we can't do better in those small issues he knows that you can't take care of her,
she should feel that is protected but the question lies how can you make a women feel that she's protected??
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea bonge LA point ila apo kwenye Adam na Eva sijakubaliana na weweKwa kuwa umeandika mwanamke siwezi kupinga,
Lakini nikukumbushe kwamba ndoa zinazotokea ikiwa mwanaume ana kila kitu huwa zinakuwa na migogoro sana..mfano ndoa ya adam na eva
Hawakosi wa kuoa bali wanakosa wanawake sahihi wa kuoa as unakuta anamtaka mwanamke anaejielewa wakati yeye hajielewi.
Hawakosi wa kuoa bali wanakosa wanawake sahihi wa kuoa as unakuta anamtaka mwanamke anaejielewa wakati yeye hajielewi.
Hakuna ndoa isiyo na migogoro, ila je migogoro hiyo itaongezewa na uchumi au mume kukosa akili?Kwa kuwa umeandika mwanamke siwezi kupinga,
Lakini nikukumbushe kwamba ndoa zinazotokea ikiwa mwanaume ana kila kitu huwa zinakuwa na migogoro sana..mfano ndoa ya adam na eva
Mngekuwa hamkurupuki basi msingekuwa na malalamiko lukuki, hamtumii akili thats all.Usidhani mwanaume akitaka kukuoa anakurupuka tu na yeye anakuchunguza vilivyo, ila sijawahi kusikia mwanamke kakataa kuolewa na mwanaume ambaye anampunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Hawakosi wa kuoa bali wanakosa wanawake sahihi wa kuoa as unakuta anamtaka mwanamke anaejielewa wakati yeye hajielewi.
Tatizo lenu mkiolewa mnafika kwenye nyumba ya mumeo unataka ucontrol kila kitu, kula uwalishe unachotaka wewe, mmeo umchunguze kama anachelewa kurudi unataka ufahamu alikuwa wapi na nani! Ukiona kampa ndugu yake pesa unanuna, kama kamnunulia mama yake nguo na wewe unanuna ili upewe pesa ya ukafanye manunuzi nk. Hadi mnatia kinyaa unaanza kuwaza hivi huyu ndiye yule kabla sijamuoa alikuwa akifa kwetu anapiga magoti kusalimia anaongea kwa unyenyekevu hadi wazazi wangu wakamwona wakampenda.Mngekuwa hamkurupuki basi msingekuwa na malalamiko lukuki, hamtumii akili thats all.
Mbona haya maandishi kama sio mageni kwangu!!Tatizo lenu mkiolewa mnafika kwenye nyumba ya mumeo unataka ucontrol kila kitu, kula uwalishe unachotaka wewe, mmeo umchunguze kama anachelewa kurudi unataka ufahamu alikuwa wapi na nani! Ukiona kampa ndugu yake pesa unanuna, kama kamnunulia mama yake nguo na wewe unanuna ili upewe pesa ya ukafanye manunuzi nk. Hadi mnatia kinyaa unaanza kuwaza hivi huyu ndiye yule kabla sijamuoa alikuwa akifa kwetu anapiga magoti kusalimia anaongea kwa unyenyekevu hadi wazazi wangu wakamwona wakampenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona haya maandishi kama sio mageni kwangu!!
Kama ni wewe kwaheri tu mkuu. Cant argue with you.
Akhsante kwa nafasi nzuri...Inaonekana umeokoka kama bado ujapata mwezi Njoo tuyajenge [emoji4][emoji4]