Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Mnakompliketi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna complicate coz ,maisha baada ya ndoa kwa asilimia kubwa yanakua chini ya mwanaume so lazima tutafute wasadizi wa kueleweka,wenye maadili,hofu ya Mungu na vitu km hvyo, Nyie mnachukulia simple tuu kuitwa mke wa Fulani coz unajua ukishaolewa ,utanyanyua miguu juu umuachie mwanaume majukumu ya familia na kukutunza ww,

From profile picture to proper future
 
Sasa si ndio jukumu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si ndio jukumu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ndo jukumu lake ,ndo maana anafanya maandalizi ya kutosha ,n pia anakua makini katika kutafuta mke ,coz anajua akichukua mwanamke mpumbavu ,ataenda kumpa stress na matatizo katika ndoa ,wanawake mnatakiwa muelewe ,mwanaume ana mambo mengi ya kufanya ktk ujenzi wa familia so atahitaj msaidizi ambaye atakua ana MPA hope na sio hawa mme yuko kazini naye anaenda kuliwa huko,....MNA tudis appoint kw a vitu vingi n vile tuu huwez kujua

Hahaha boss unatiririka yamekukuta nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera umeandika kweli hivyo ni kwa wale wanawake wema au prudent wife ndio wanaangalia hivyo vigezo.Ila wanawake wapumbavu wanaangalia 1.PESA.2.PESA.3.PESA.4.PESA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa sindio inarahisisha maisha, na wao hawataki tabu kabisaaa...chuma ulete tutumbue ubaya wanachoharibu wanakosaga adabu at the end. Mie chaguo langu la mke wa kuoa ni yule anaejitegemea na still aweze kuwa na adabu. Huyo naoa anyitime vigezo na masharti kuzingatiwa lakini.
 
Sasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu

From profile picture to proper future
Wanawake wa kisasa wana ndoto za ajabu kweli aisee, yani we uwe jentromeni yeye adange ila usimuingilie kwenye shughuli zake umuhudumie tu kama kawaida.
 
It doesn't matter my brother

Waweza uwe nayo au usiwe nayo ,what matters ni mtazamo wako juu ya hayo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuowa mwanamke aliezaliwa 85+ akiwa hana bikira ni upumbavu wa hali ya juu, japo inawezekana akawa mke bora kwa kumtengeneza.
.
Naamini hata wewe uliolewa ukiwa huna bikra au bado haujaolewa na haipo tena imeliwa na panya ndio maana unaona haina umuhimu.
.
Bikra ni heshima na inshara ya kujitunza, mwanamke bikira anatamba kama Simba awapo nyikani
 
Back
Top Bottom