mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Sasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu
From profile picture to proper future
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu
Vyote ninavyooo....
Tatizo langu ni kuwa, wanaonipenda siwapendi,
Kila mwanamke ni mdangaji? Braza acha utaniSasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu
From profile picture to proper future
Mkuu ukisema,Sasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu
From profile picture to proper future
"Kutoka kwenye hisia kwenda kwenye uhalisia" ..sema nimeiweka kiujanja tuu..ila akili yangu imelenga maana hiyoMkuu ukisema,
From profile picture to proper future.
Unamaanisha nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kutoka kwenye hisia kwenda kwenye uhalisia" ..sema nimeiweka kiujanja tuu..ila akili yangu imelenga maana hiyo
From profile picture to proper future
Mkuu naona unazidi kucomplicate mambo. Ww profile picture umeichukulia avatar ,ila mm nimeichukulia ile picha ya ndani ninayoiona kwenye hisia ...ndo naiamisha kwenye uhalisia wa maisha na sio huku jfSasa nikuulize hisia zako ni zipi????
Maana profile pic watu huino tu.
Sasa hisia zako ziko wapi????? Mbona hatuzion????
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ninavyooo....
Tatizo langu ni kuwa, wanaonipenda siwapendi,
Mkuu naona unazidi kucomplicate mambo. Ww profile picture umeichukulia avatar ,ila mm nimeichukulia ile picha ya ndani ninayoiona kwenye hisia ...ndo naiamisha kwenye uhalisia wa maisha na sio huku jf
From profile picture to proper future
Dogo we kweli bado sana ,... ...Sijasema ni avatar
Mimi nimesema ni kitu ambacho watu walio kuzunguka wanaweza kukiona,
Sasa nakuomba hisia zako usizifananishe na profile pic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo we kweli bado sana ,... ...
From profile picture to proper future
Dogo we kweli bado sana ,... ...
From profile picture to proper future
Nimesoma hii comment nikaishia kucheka tu. Huenda wanashindwa kuchugua yupi waache yupi.....