Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
wanakosa wengi tuu utaweza chukua mdada kumbe ni damage goods mwishoe badala ya kuona furaha kwenye ndoa yako mnaanza mifarakano na mengine na hii yote ni kutokana na haraka zetu katika mambo siku hizi wakina dada wengi ni damaged goods sio nasema vibaya ila ukikutana na mdada kama huyo ni very complex kuliko hata formula ya kurusha rocket kwenda mwezini
Sent using Jamii Forums mobile app