Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Utafanya hayo yote kwa mwanamke wako half atakusaliti kwa bodaboda.....shikamoo wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejbu kulingana na swali brotherKuowa mwanamke aliezaliwa 85+ akiwa hana bikira ni upumbavu wa hali ya juu, japo inawezekana akawa mke bora kwa kumtengeneza.
.
Naamini hata wewe uliolewa ukiwa huna bikra au bado haujaolewa na haipo tena imeliwa na panya ndio maana unaona haina umuhimu.
.
Bikra ni heshima na inshara ya kujitunza, mwanamke bikira anatamba kama Simba awapo nyikani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwwnye kususia mbunye umedanganya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Walio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume hana bikira na hajawahi kuwa nayo nitake radhi mara moja ndipo tuendelee na hoja juu ya hoja.Nimejbu kulingana na swali brother
Mimi ninayo na sijaolewa,je wewe unayo!?
Usije sema upumbavu na wakati huo wewe mwenyewe upo kwenye Hilo kundi la upumbavu
Note:Mada niliyoleta sijaihusianisha na mambo ya bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh,Mwanaume hana bikira na hajawahi kuwa nayo nitake radhi mara moja ndipo tuendelee na hoja juu ya hoja.
.
Ni sawa na mwanamke kutokuwa na kibakio
Inategemea kama unapewa nyapu mpaka mtu ajisikie si unapoteza mzuka nayeWalio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu ata muda wakuangalia au kufikiria au kuhitaji kuwa na mwanaume mwenye maono sijui kama wanaoMaono bila kumiliki ni pesa ni sawa nakujificha kwenye shamba la karanga ....tafuta pesa
#bamia_ndefunene
Nimejbu kulingana na swali brother
Mimi ninayo na sijaolewa,je wewe unayo!?
Usije sema upumbavu na wakati huo wewe mwenyewe upo kwenye Hilo kundi la upumbavu
Note:Mada niliyoleta sijaihusianisha na mambo ya bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha boss what's wrong with me?Tunakosa kwani wanawake wa kuoa wapo wachache sana..kuwa mwanaume uyaone..
Mfano mtu anakuoa mwanamke kama wewe Khantwe hapo tunasema ameoa au amejitafutia matatizo..
Kuishi na mwanamke ndani ya nyumba sio ndio tafsiri ya kuoa kwani hata house girl unaweza kuishi naye ndani ya nyumba na mzigo ukawa unakula
Utamjuaje mwanaume mwenye bikra?Mmmmh,
Kwa ninavyotazama Mimi mwanaume bikra Ni yule ambaye amejitunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa sawaaNotching wrong mummy ni masuala tu ya kuambiana ukweli kindaki ndaki
AsanteUwe na adabu wewe mwanamke,huwezi kumuuliza mwanaume kama ana bikira!!!
Ndio wanawake wa kuoa nyie..
Kwenye mada yako hapo sisi wanaume kwa kutumia akili na jicho la tatu tunaona umeandika
1 pesa
2 pesa
3 pesa
4 pesa