Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Wanawake unao waongelea hapa ni hawa hawa ninao wajua mimi au ni tofauti. Maana kama ni wanawake hawa ninao wajua mimi si ajabu mwanamke akavunja ndoa kisa mume masikini, akaenda kuolewa na tajiri huko nako akavunja ndoa kisa mume ana kibamia. Kifupi niseme tu wanawake ni viumbe ambao hadi leo hawajui ni nini wanachokitaka kwa mwanaume na ndio maana MUNGU akasema Tuishi nao kwa Akili.
 
Walio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa sana la kiufundi hilo. Mi ninunie lakini ubichi ubichi niiiiipeeeeeee hapo sawa after all havijanuniana vya chini bhaaah!
 
Nlichoona hapo kwenye points zote ulizoandika ni pesa, ila tu umeipa majina tofauti, k.v kazi, maono, akili etc, na mwanamke anaependa kazi yangu kuliko anavonipenda bhas huyo mwanamke hanistahili..ama kweli Esther villar alikuwa sahihi Saint anne
Hapo hitimisho ni pesa hizo nyingine ni story za kufurahisha genge! 😁😁
 
Nlichoona hapo kwenye points zote ulizoandika ni pesa, ila tu umeipa majina tofauti, k.v kazi, maono, akili etc, na mwanamke anaependa kazi yangu kuliko anavonipenda bhas huyo mwanamke hanistahili..ama kweli Esther villar alikuwa sahihi Saint anne
Ahaahaaa mkuu umeona,mbali

From profile picture to proper future
 
Back
Top Bottom