Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Itakuwa unawaza wa kuxini nae, ila wa ndoa sio rahisi kihivyo.
Hata mwanamke hakuna anaekosa wa kuolewa nae bali anakosa mtu sahihi ambae yeye amemridhia.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ujue mimi hum huwa nakomenti kutokana na mudi nilioyonayo muda huo, sinaga msimamo wa muda wote[emoji23][emoji23]

Ndiyo maana nimejikuta nacheka kwa sababu sikupata jibu kama ni mzaha au umemaanisha.

Humu ndani mimi nilishaacha kutumia akili, nimebaki naendana na upepo
 
Ndiyo maana nimejikuta nacheka kwa sababu sikupata jibu kama ni mzaha au umemaanisha.

Humu ndani mimi nilishaacha kutumia akili, nimebaki naendana na upepo
Ukitumia akili muda wote hasa majukwaa yetu haya utajikuta kuna muda unagombana na watu.
Ila shemela tuseme ule ukweli...mwanaume unakosaje mwanamke? Sawa kulingana na hali yako labda kiuchumi unaweza ukashindwa kumpata exactly kama yule unayemtaka lakini ukose hata wa kumkaribia?
 

Atoto kuna mahali ameku-quote kwamba unachanganya kati ya mke na mtu wa kuzini naye.

Swala la mke si swala dogo.
 
Itakuwa unawaza wa kuzini nae, ila wa ndoa sio rahisi kihivyo.
Hata mwanamke hakuna anaekosa wa kuolewa nae bali anakosa mtu sahihi ambae yeye amemridhia.
Kwa mwanamke ni kweli anaweza kukosa maana inawezekana wanaumfuata hawakidhi mahitaji yake na anaotamani wamfuate hawana habari, tofauti na mwanaume anayetoka mwenyewe kwenda kutafuta. Swali la kizushi, hivi mwanamke (ambae sio malaya) anaweza kuzini na mwanaume ambae anaona kabisa hafai kuwa numewe?
 
Kwa mwanamke ni kweli anaweza kukosa maana inawezekana wanaumfuata hawakidhi mahitaji yake na anaotamani wamfuate hawana habari, tofauti na mwanaume anayetoka mwenyewe kwenda kutafuta.

Unadhani kila mwanaume anapata yule anayemtaka? Nao ni hivyo hivyo, anaemtaka hamtaki and vice versa.
 
Nzuri hiyo

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
wanawake huwa wanaangalia tu status ya mtu basi. Hamna kingine chochote. Na ndio maana wengi hawaolewi.
 
Furaha ..kwamba tako sio kigezo cha ndoa ..weupe sio kigezo cha ndoa ...hips sio kigezo cha ndoa maana wengi wenu ndo mna mentality hyo kumbe wala
Lakini si mwanaume anapaswa kuoa pure isiyo tumika sasa utajuaje radha kama huo utamu ni kigezo utajuaje? Kama hutaangalia hivyo unavyo vipuuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…