Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Sasa ndugu unaoa mtu hujamgusa ? ukikuta havieleweki tena utachuma dhambi za kujilaan tu, sio vizuri aisee...
Mnagusa watoto wa wanaume wenzenu halafu baadaye mnawaacha mnataka wasiotumika.
Sasa sijui wanatoka wapi Maana watumiaji Ni nyinyi wenyewe
 
mtoa mada unakosea hao walikuwa kipindi cha adamu
hawa sasa ili umuoe inabidi nyumbani uwe na tawi la benk kama crdb exim kbc barcly utaoa wote kasoro ndugu tu
 
Daaaah mkuu umelenga mule mule sema ndo vile wanaume huwa hatuongei
 
mtoa mada unakosea hao walikuwa kipindi cha adamu
hawa sasa ili umuoe inabidi nyumbani uwe na tawi la benk kama crdb exim kbc barcly utaoa wote kasoro ndugu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…