Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Sasa ndugu unaoa mtu hujamgusa ? ukikuta havieleweki tena utachuma dhambi za kujilaan tu, sio vizuri aisee...
Mnagusa watoto wa wanaume wenzenu halafu baadaye mnawaacha mnataka wasiotumika.
Sasa sijui wanatoka wapi Maana watumiaji Ni nyinyi wenyewe
 
mtoa mada unakosea hao walikuwa kipindi cha adamu
hawa sasa ili umuoe inabidi nyumbani uwe na tawi la benk kama crdb exim kbc barcly utaoa wote kasoro ndugu tu
 
Mwanamke wa hivyo ambaye huwa hawazi hela ya kidume kabisa huwa ni mvumilivu sana kwenye mahusiano na hababishwi na tamaa za kishamba kama wale omba omba type.

Yeye focus ni umuoneshe mapenzi umkaze freshi tu anafurahia mahusiano na hii ndio aina ya mwanamke ambaye wengi tunaota kuwapata ila tunaishia kuwapata wale wa tuma na ya kutolea, kuwalipia kodi, saluni na ada za vyuo!🤣🤣🤣
Daaaah mkuu umelenga mule mule sema ndo vile wanaume huwa hatuongei
 
mtoa mada unakosea hao walikuwa kipindi cha adamu
hawa sasa ili umuoe inabidi nyumbani uwe na tawi la benk kama crdb exim kbc barcly utaoa wote kasoro ndugu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom