Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Halafu hao kwa kujishaua ila shida mie naona ni malezi mabovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili na maono ndio tatizo kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hao kwa kujishaua ila shida mie naona ni malezi mabovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili na maono ndio tatizo kubwa.
Halafu ndiyo wanaongoza kwa kulia lia na kutukana wanawakeMabaharia tu wale wanatafuta papuchi za mtelemko
Hivi ni kweli? Mbona hujinasibu sana ukitoka na vuta mwingine?Unadhani kila mwanaume anapata yule anayemtaka? Nao ni hivyo hivyo, anaemtaka hamtaki and vice versa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona mwanaume kakomaa kutukana wanawake jua fungu la kukosa huyoHalafu ndiyo wanaongoza kwa kulia lia na kutukana wanawake
Status ya mtu hupimwa kwa Kitu gani?wanawake huwa wanaangalia tu status ya mtu basi. Hamna kingine chochote. Na ndio maana wengi hawaolewi.
Nao huwa wanaumia Sana tuHivi ni kweli? Mbona hujinaaibu sana ukitoka na vuta mwingine?
WanalipitaNgoja nisubilie jibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo nalo neno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona mwanaume kakomaa kutukana wanawake jua fungu la kukosa huyo
Wanaumia kimoyo moyo eeeNao huwa wanaumia Sana tu
Wanalipita
Ni vile tu hawawezi kusemaWanaumia kimoyo moyo eee
Naweza kukusaidia kuwa tayariBado sijawa tayari [emoji23]
Nimeuliza tu
Wewe umeelewa kweli au hujaelewa kama mimi, kwani anavyosema kigezo namba moja uwe na kazi anamaanisha nini?Hongera umeandika kweli hivyo ni kwa wale wanawake wema au prudent wife ndio wanaangalia hivyo vigezo.Ila wanawake wapumbavu wanaangalia 1.PESA.2.PESA.3.PESA.4.PESA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaninihaya madam, mimi binafsi siwez kwakweli...
Nimeweka maelezo pale juuMleta mada, unaposema "kazi" unamaanisha nini?
We mwenyewe unajua jinsi navyo umia kimoyo moyo kaka ako.Ni vile tu hawawezi kusema
Hahaha.We mwenyewe unajua jinsi navyo umia kimoyo moyo kaka ako.
Kwanini