Kwenu wanaume

Kwenu wanaume

Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.

Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
Kwa hiyo icho chakula cha wanaume wa mjini kinamtosha Bae!!?
 
Hiyo Ratiba ya wanaume wa Dar w/end ungeigeuza na iwe Ratiba ya wanawake wa Dar kila siku...

Hiyo Ratiba ya wanaume wa mikoani ungeigeuza na iwe Ratiba ya mashamba boy Dar...


Cc: mahondaw
Mashamba boi ndo wanakulaga hivyo?
 
Huku kuna distribution of labour, kuna wanaolipwa ujira kwa kumenya miwa nao wakasaidia familia zao. Wote tukimenya miwa wengine wataishije?
Wanaweza kuuza muwa bila kumenya ili kila mtu akamenye kwake
 
Back
Top Bottom