Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hata chapat 5 hamalizi anakula chapat moja tena nusuuWa daslam hata mua hawawezi kumenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata chapat 5 hamalizi anakula chapat moja tena nusuuWa daslam hata mua hawawezi kumenya
Huku kuna distribution of labour, kuna wanaolipwa ujira kwa kumenya miwa nao wakasaidia familia zao. Wote tukimenya miwa wengine wataishije?Wa daslam hata mua hawawezi kumenya
Kwa hiyo icho chakula cha wanaume wa mjini kinamtosha Bae!!?Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.
Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
Hatutelekezi watoto kipumbavu vileSasa ile foleni kwa Makonda mbona ilikua kubwa kama ni kweli wanaume wa dar hawana hizo "nguvu za kiume"!nawaza tuu lakini
Unachomaanisha wew sicho nlichomaanisha mimi...uwe na jioni njema mkuuHatutelekezi watoto kipumbavu vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]khaaaa kho kho khooooView attachment 745463
[emoji23] shamba limekoleaMwanaume wa mkoani,wa Dar sa hizi anakunywa juisi ya miwaView attachment 745462
Kwa kwelMwenyee madeko yakeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mic u more..ukimaliza hii vita hapa uje wsp kidogo
Na muwa wanakamuliwaWa daslam hata mua hawawezi kumenya
Na kikombe cha chai nusuHata chapat 5 hamalizi anakula chapat moja tena nusuu
Wanaweza kuuza muwa bila kumenya ili kila mtu akamenye kwakeHuku kuna distribution of labour, kuna wanaolipwa ujira kwa kumenya miwa nao wakasaidia familia zao. Wote tukimenya miwa wengine wataishije?
We wa dar au wa mkoani?Napita tu nikiwasalimia
Wa kaskaznWe wa dar au wa mkoani?
Nmemkodisha kwa leo tuNdo anakupikiaga siku zote?