Calm down malaikaUnavurugwa wewe. Katafute pa kufia.
Kule kwetu au kaskazni ipi?Wa kaskazn
Wanamkera malaika etiCalm down malaika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni ugomvi wa wazi waziPolen sana wanaume wa dar sisi wa mikoani hatuna shida na nyie majukum tutawasaidia msijali tukija mjini mtupe kazi ya ushamba boy tupalilie na tuwapandie mbegu za mikoani kwa wanenu na wake zenu
Waaala hataMdada unabalaa wewe
Mchambie mawe[emoji23]Uanaume ni mgumu sanah, kuna siku tutaambiwa tusichambie maji.
Sipendi wamkere, ni mdada mmoja safi sana huyoWanamkera malaika eti
Naimani hawatamkera tenaSipendi wamkere, ni mdada mmoja safi sana huyo
Ukalale sasaNaimani hawatamkera tena
hahahah nimecheka hatarNdiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.
Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
Shanga???Kuna thread niliona humu JF mwanaume wa dar akiulizia Shanga za yeye kuvaa sijui iliishia wapi aisee.,hahah