Kwenu wanaume

Kwenu wanaume

Polen sana wanaume wa dar sisi wa mikoani hatuna shida na nyie majukum tutawasaidia msijali tukija mjini mtupe kazi ya ushamba boy tupalilie na tuwapandie mbegu za mikoani kwa wanenu na wake zenu
 
Polen sana wanaume wa dar sisi wa mikoani hatuna shida na nyie majukum tutawasaidia msijali tukija mjini mtupe kazi ya ushamba boy tupalilie na tuwapandie mbegu za mikoani kwa wanenu na wake zenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni ugomvi wa wazi wazi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
FB_IMG_1523828014317.jpg
 
Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.

Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
hahahah nimecheka hatar
 
Kuna thread niliona humu JF mwanaume wa dar akiulizia Shanga za yeye kuvaa sijui iliishia wapi aisee.,hahah
 
Back
Top Bottom