Kwenu wanaume

Kwenu wanaume

Eeeh hakukua na namna zaid ya kuingia jikoni tena. Yan kuharibiana budget tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu unakuta kijijin chakula ni mara 1 per day anakuja mjini mara 3. Inakua sherehe
Haha hicho cha kwenye hotpot pengine kilikuwa kidogo
 
Kipapai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umpige kipapai Malikia wa ulozi?
image_search_1523722396930.jpg
 
Vita ni vita hata kama unapigana na mtoto muraa
Kabisaa hii week nipo kivita vitaa tu hata sjui kwann nimemiss kupigana kiukweli mikono inaniwashaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Ukija Dar uwe na sababu maalumu pia uwe na visa. Uki over stay Lindela Inakusubiri. Kama huna vigezo ubakie huko huko mkoani Kwako.
 
Kabisaa hii week nipo kivita vitaa tu hata sjui kwann nimemiss kupigana kiukweli mikono inaniwashaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mi naogopa tu kuua maana hua sina simile linapokuja suala la ngumi[emoji23]
 
Back
Top Bottom