Kwenu wanaume...

Hahhaha ila ukali na mingurumo ndani ya nyumba yani humfanya dingi kuwa mtamu kama mcharo, kuna wanawake wanapenda baba awe a little bit harsher , yani ukifika ndani vimkwara fulani hivi

Happiness is a lifestyle
Of course huyo ndio baba
 
Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia chumbani.


Sent using Jamii Forums mobile app

Wapendwa simaanishi uwe soft maana ukiwa soft sana utaharibu watoto.

Nnacho maanisha ni don't be so cold kwa watoto wako, kiasi kwamba akiwa na shida hawezi kukukwambia labda amtume Mama. Don't be so cold kiasi kwamba salamu tu ndo mazungumzo yenu. Don't be so cold kiasi kwamba Mtoto aanze kumuona uncle fulani au baba wa rafiki yake kama ndo baba yake mzazi.

Jaribu kuwa rafiki, jaribu kuwafanya watoto wawe comfortable around you. Wafanye watoto waone raha ya kuwa na baba, wafanye watoto wapate kitu cha kujifunza kutoka kwako, wafanye watoto wasiwe na nidhamu ya uoga maana ndiyo utakayokuwa unawajengea kama kila ukifika nyumbani wao wanakimbia.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizazi cha sahv baba usipokuwa mkali mambo ya kijinga yanaweza kuinngia kwenye familia yako. Sasa huu ujinga mimi kama mzazi siutaki hata kidogo katika familia yangu. Mungu nisaidie kuniongoza kwenye malezi ya wanangu.Nikirudi home sitaki kuwa mtu wa kuongea yaani mtoto akisikia baba amerudi au hata nikiwa sipo ila akitajiwa jina baba tu ajitune.[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watoto wangu watapata raha sana tutabet wote, ubishani wa mpira kwenda mbele, nikiwaona nawapa 5 ila heshima kama baba waizingatie
Dah... kikawaida kwa binadamu wa kawaida... heshima kati yao huanza baada ya utengamano wa kijamii....na bila heshima hakuna uongozi... ukweli mchungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…