Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji120][emoji120]@Sakayo on point
Happiness is a lifestyle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120]@Sakayo on point
Happiness is a lifestyle
Of course huyo ndio babaHahhaha ila ukali na mingurumo ndani ya nyumba yani humfanya dingi kuwa mtamu kama mcharo, kuna wanawake wanapenda baba awe a little bit harsher , yani ukifika ndani vimkwara fulani hivi
Happiness is a lifestyle
Acha kuwakoromea watoto! Hiyo sura yako ni nzuri sana ila punguza ukaliItabidi nijitafakari inawezekana sifa ninazopewa siyo sahihi labda ni kinyume chake!
Siyo kupunguza tu,nimeacha kabisa!Acha kuwakoromea watoto! Hiyo sura yako ni nzuri sana ila punguza ukali
EwaaaaaSiyo kupunguza tu,nimeacha kabisa!
Naongelea watoto.Mbona hatupo hivyo
Happiness is a lifestyle
Hahaha hahaha hahahaSawa sawa
Nashukuru sana mama bora!
Sakayo huwa nakuelewa sana. Ur wife material in realIlikuwa miaka ya nyuma sana! Saivi tena watoto wako busy na baba zao kuliko hata mama zao
Asante sana mkuu!
HahahahaHahaha hahaha hahaha
Huo mstari wa mwisho umekaa kichocheziii
Nyie mpo busy na kuoshwa kucha na kubadika artificial aiseehhh dunia inakimbia kwa haraka sanaNaongelea watoto.
Nyie mko busy na vimada,betting,pombe,marafiki,mpira.....
Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia chumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaa! Sawa. Na iwe hivyo kama ni rahisi.watoto wangu watapata raha sana tutabet wote, ubishani wa mpira kwenda mbele, nikiwaona nawapa 5 ila heshima kama baba waizingatie
Dah... kikawaida kwa binadamu wa kawaida... heshima kati yao huanza baada ya utengamano wa kijamii....na bila heshima hakuna uongozi... ukweli mchungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watoto wangu watapata raha sana tutabet wote, ubishani wa mpira kwenda mbele, nikiwaona nawapa 5 ila heshima kama baba waizingatie