WachaaaaaaaaIlikuwa miaka ya nyuma sana! Saivi tena watoto wako busy na baba zao kuliko hata mama zao
Ledada ukali wa Baba wewe unakutia hasara gani, kama watoto wamekula wameshiba, chumba cha kulala kiko tayari kwao, kimepulizwa dawa ya mbu na net zimetundikwa mahala pake, shida nini tena wakienda chumbani kulala ?, Baba lazima uwe mkali.Ukauzu na ukali wa baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani tukipata washauri wa dizaini hiii wa sentensi Mbili tu akiamini wanaume wote wamemuelewa Kazi ipo..
(Sema nimekuelewa)...Mi nikirudi nyumbani watoto wote hawakimbii chumbani wanakimbia ZAO nje kucheza
Any time..Nje lkn ndani ya FensiiMkuu Hata kama ni saa nne usiku ?
NdiwoooWachaaaaaaaa
We cheka tuuHahahaha
Usiombe mama awe mkali halafu mshua chaupole... Hiyo nyumba itawaka motoLet's put joke pending
Wazazi wanatakiwa wawe na balance katika malezi ili mtoto apate pa kukimbilia, baba akiwa mkali mama ajishushe il katoto kakimbilie kwa mama kaka kumbatiwe kapewe faraja sio wote mnakuwa "black ship" hadi mnajenga hofu jwa mtoto, wazazi jiangalieni msimfanye bint yenu akaenda kuliwazwa na hawara yake
Huu ndio ukweli kabisa,siyo uchochezi!Wewe ndio hivyo kabisa nilivyokuitaWe cheka tuu
Ila meshtuka huo uchochezi wako
Naona unakazia kabisaaa eehh, mdaka chozi wa auntie wewe Mungu anakuona ujueHuu ndio ukweli kabisa,siyo uchochezi!Wewe ndio hivyo kabisa nilivyokuita
Unawazungumzia hawa akina Daddy? Wa kusema junior no noo...?
Inakuwa poa sana watoto hawafanyi ujinga, mara nyingi mama akiwa mpole watoto hawamuogopi na wakati mwingine anashiriki kuficha maovu ya watoto kwa kuwa anajua yakijulikana nyumba itageuka kibiti. Mama akiwa mkali ni advantage kwa sababu mama hata angekuwa mkali vipi bado atabalance wakati mdingi akiwa mkali anakuwa mkali jumla, pia watoto hata wakifanya ujinga hawawezi kumtumia baba awasaidie kucover up maovu yao hata angekuwa mpole kiasi ganiUsiombe mama awe mkali halafu mshua chaupole... Hiyo nyumba itawaka moto
Happiness is a lifestyle
Baba akiwa troublemaker ni shida sana[emoji3][emoji3][emoji3] Baba inatakiwa ukiingia ndani kila mtu kimyaaa kama vile Simba kaunguruma.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Ilikuwa miaka ya nyuma sana! Saivi tena watoto wako busy na baba zao kuliko hata mama zao
Mama akiwa mkali na baba akiwa mkali nani huleta nafuu? Aiseeehhhh mama ni shida kwanza huwa mnakuaga na hasira hata kwa vitu vidogo tu halafu matusi juu sasa huyo mtoto unamjenga ama unabomoa yani unamtandika viboko na maneno juu..... Sisi wa baba tukiwa wakali huwa tunaangalia na tatizo la kuwasha moto and a kid got a lesson learntInakuwa poa sana watoto hawafanyi ujinga, mara nyingi mama akiwa mpole watoto hawamuogopi na wakati mwingine anashiriki kuficha maovu ya watoto kwa kuwa anajua yakijulikana nyumba itageuka kibiti. Mama akiwa mkali ni advantage kwa sababu mama hata angekuwa mkali vipi bado atabalance wakati mdingi akiwa mkali anakuwa mkali jumla, pia watoto hata wakifanya ujinga hawawezi kumtumia baba awasaidie kucover up maovu yao hata angekuwa mpole kiasi gani
VizuriYaani niamke 0600hrs niende mzigoni, nirudi 2000hrs halafu watoto wakimbilie chumbani? Sitaruhusu hilo aisee, lazima bond kati yangu na watoto iwe kubwa, lakini kuwafundisha ni lazima.
Sitasahau ukauzu wa wazee...
Ledada ukali wa Baba wewe unakutia hasara gani, kama watoto wamekula wameshiba, chumba cha kulala kiko tayari kwao, kimepulizwa dawa ya mbu na net zimetundikwa mahala pake, shida nini tena wakienda chumbani kulala ?, Baba lazima uwe mkali.
Matusi ni tabia ya mtu tu asiye na ustaarabu. Mimi mama yangu sio mkali kihivyo ila naweza kusema baba ni mpole kuliko mama lakini sijawahi kusikia tusi la aibu linamtoka kinywani mwakeMama akiwa mkali na baba akiwa mkali nani huleta nafuu? Aiseeehhhh mama ni shida kwanza huwa mnakuaga na hasira hata kwa vitu vidogo tu halafu matusi juu sasa huyo mtoto unamjenga ama unabomoa yani unamtandika viboko na maneno juu..... Sisi wa baba tukiwa wakali huwa tunaangalia na tatizo la kuwasha moto and a kid got a lesson learnt
Happiness is a lifestyle