Kwenu wanaume...

Kwenu wanaume...

Let's put joke pending
Wazazi wanatakiwa wawe na balance katika malezi ili mtoto apate pa kukimbilia, baba akiwa mkali mama ajishushe il katoto kakimbilie kwa mama kaka kumbatiwe kapewe faraja sio wote mnakuwa "black ship" hadi mnajenga hofu jwa mtoto, wazazi jiangalieni msimfanye bint yenu akaenda kuliwazwa na hawara yake
 
Usiombe mama awe mkali halafu mshua chaupole... Hiyo nyumba itawaka moto

Happiness is a lifestyle
 
Inakuwa poa sana watoto hawafanyi ujinga, mara nyingi mama akiwa mpole watoto hawamuogopi na wakati mwingine anashiriki kuficha maovu ya watoto kwa kuwa anajua yakijulikana nyumba itageuka kibiti. Mama akiwa mkali ni advantage kwa sababu mama hata angekuwa mkali vipi bado atabalance wakati mdingi akiwa mkali anakuwa mkali jumla, pia watoto hata wakifanya ujinga hawawezi kumtumia baba awasaidie kucover up maovu yao hata angekuwa mpole kiasi gani
 
Ilikuwa miaka ya nyuma sana! Saivi tena watoto wako busy na baba zao kuliko hata mama zao

Hapa nakuunga mkono 100%, watoto wanawezakucheza na baba muda mwingi sana kuliko mama. Baadhi ya wamama wa siku hizi (waliowengi nadhani) wakifika nyumbani wanaendeleza muda mwingi kuchati na mpaka mtoto anaona mama yuko bize na akimuita anaitikia mhhhh, huku macho na vidole viko kwenye simu anaona bora ahamie kwa baba. Wanaume wanachati pia lakini sio kwa kiwango cha walichonacho wanawake( wanawake ni kufuru). Wanawake nitakaowakwaza mtanisamehe lakini ndio ukweli.
 
Inakuwa poa sana watoto hawafanyi ujinga, mara nyingi mama akiwa mpole watoto hawamuogopi na wakati mwingine anashiriki kuficha maovu ya watoto kwa kuwa anajua yakijulikana nyumba itageuka kibiti. Mama akiwa mkali ni advantage kwa sababu mama hata angekuwa mkali vipi bado atabalance wakati mdingi akiwa mkali anakuwa mkali jumla, pia watoto hata wakifanya ujinga hawawezi kumtumia baba awasaidie kucover up maovu yao hata angekuwa mpole kiasi gani
Mama akiwa mkali na baba akiwa mkali nani huleta nafuu? Aiseeehhhh mama ni shida kwanza huwa mnakuaga na hasira hata kwa vitu vidogo tu halafu matusi juu sasa huyo mtoto unamjenga ama unabomoa yani unamtandika viboko na maneno juu..... Sisi wa baba tukiwa wakali huwa tunaangalia na tatizo la kuwasha moto and a kid got a lesson learnt

Happiness is a lifestyle
 
Ukali ni muhimu lakini sio ukali uliopitiliza wa kuwafanya watoto wasiwe huru kwako.
Ledada ukali wa Baba wewe unakutia hasara gani, kama watoto wamekula wameshiba, chumba cha kulala kiko tayari kwao, kimepulizwa dawa ya mbu na net zimetundikwa mahala pake, shida nini tena wakienda chumbani kulala ?, Baba lazima uwe mkali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama akiwa mkali na baba akiwa mkali nani huleta nafuu? Aiseeehhhh mama ni shida kwanza huwa mnakuaga na hasira hata kwa vitu vidogo tu halafu matusi juu sasa huyo mtoto unamjenga ama unabomoa yani unamtandika viboko na maneno juu..... Sisi wa baba tukiwa wakali huwa tunaangalia na tatizo la kuwasha moto and a kid got a lesson learnt

Happiness is a lifestyle
Matusi ni tabia ya mtu tu asiye na ustaarabu. Mimi mama yangu sio mkali kihivyo ila naweza kusema baba ni mpole kuliko mama lakini sijawahi kusikia tusi la aibu linamtoka kinywani mwake
 
Back
Top Bottom