Kwenu wanaume...

Kwenu wanaume...

Sura yako labda inafanana na roho yako we mdaka chozi wa auntie
We si uliniambia sura yangu nzuri tena ukanisifia nina mdomo mzuri,ukasisitiza kabisa nisibadilishe Avatar,leo umenigeuka?
 
We si uliniambia sura yangu nzuri tena ukanisifia nina mdomo mzuri,ukasisitiza kabisa nisibadilishe Avatar,leo umenigeuka?
Hahaha hahaha
Hiyo sura ni nzuri jamani! Asa watoto wako watakuwa wanaogopa nini?!
 
watoto wangu watapata raha sana tutabet wote, ubishani wa mpira kwenda mbele, nikiwaona nawapa 5 ila heshima kama baba waizingatie
Jiandae kukuza watoto wasiosikia

Happiness is a lifestyle
 
Back
Top Bottom