KWENU WANAUME

KWENU WANAUME

Ukiwa kwenye circle ya ulevi na uzinzi wadau watakupa Hadi na nauli ya kumleta demukwa shart Moja uje usimulie ulivyo mkula.

Pia ukiwa mzee wa tungi wee kikubwa uwe mpambe tu yaani mwenye pesa muite majina makubwa makubwa kama boss wangu Hana mambo mengi,Bill gate habahatishi, Dangote wewe ndo Kila kitu nk

Nakuhakikishia utalewa Hadi usahau getoni na kesho utatafutwa ukalewe pia kama ukizingua ama kuchelewa unafatwa Hadi geto na matusi juu kana kwamba wewe ndo boss.

Huu ndio ufalme wetu sisi wazee wa tungi 🍺🍻🥂🥂🍷🍾
 
habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote

Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo

hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….

huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….

hebu mje mniambie 😂
Mimi hata lodge sijui zikoje kwa ndani
 
Upungufu wa watu wenye akili Tanzania

UWAWEATU
 
Mbadililike

Mwanaume hataki
hkelele.
ujinga
Dharau
ushenzj
Else tutakesha sana lwenye Lodge kutafuta amani

M mkewangu akizingua hata siagi naenda kawe nakamataa katoto kamoto nakapa 10k mpaka asbh na kama kana simu nazima maana sitaki usumbufu

Back
Top Bottom