KWENU WANAUME

KWENU WANAUME

Huwa naskia lodge zina laana, ukiingia laana inakutafuna
Wengine mimba zinetunguwa Lodge
Tutake radhi pls
Asilimi 39 ya members humu mimba zao zimetengenezea lodge
 
habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote

Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo

hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….

huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….

hebu mje mniambie 😂
Mambo yao waachie wenyewe 😀😀

cc Smart911
Cc Mahondaw
 
Wengine mimba zinetunguwa Lodge
Tutake radhi pls
Asilimi 39 ya members humu mimba zao zimetengenezea lodge
Nichukue nafasi hii kuwataka radhi wote ambao mimba zao zimetungiwa lodge
 
ndo nawaza ametoa wap sasa
We ungetoa solution hiyo hela ya lodge angekupa wewe unataka alipie lodge na hapo hapo unataka akuchie hela. Kama vipi ungempeleka ghetto lako au kwa shosti wako nadhani hiyo ya lodge ingekuwa yako.ni kweli anaweza kuwa hana hela za kuingia gharama mara mbili yaani ya lodge na kukupa wewe so hapo nikuchagua sasa
blessed chiqqah
 
Mbadililike

Mwanaume hataki
hkelele.
ujinga
Dharau
ushenzj
Else tutakesha sana lwenye Lodge kutafuta amani

M mkewangu akizingua hata siagi naenda kawe nakamataa katoto kamoto nakapa 10k mpaka asbh na kama kana simu nazima maana sitaki usumbufu
10k au 100k
 
habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote

Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo

hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….

huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….

hebu mje mniambie 😂
SAY NO TO RAPE : Incidents of sexual violence, particularly rape and defilement against students, have been on the rise in various areas
 
Attachments

  • 20240922_105753.jpg
    20240922_105753.jpg
    96.6 KB · Views: 0
  • 20240922_105805.jpg
    20240922_105805.jpg
    134.3 KB · Views: 0
  • 20240922_105819.jpg
    20240922_105819.jpg
    91.6 KB · Views: 0
Back
Top Bottom