Huwa naskia lodge zina laana, ukiingia laana inakutafunaHahahahahaaaaaaaa
Mkojani lodge n pub
Wengine mimba zinetunguwa LodgeHuwa naskia lodge zina laana, ukiingia laana inakutafuna
Mambo yao waachie wenyewe 😀😀habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote
Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo
hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….
huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….
hebu mje mniambie 😂
Nichukue nafasi hii kuwataka radhi wote ambao mimba zao zimetungiwa lodgeWengine mimba zinetunguwa Lodge
Tutake radhi pls
Asilimi 39 ya members humu mimba zao zimetengenezea lodge
We ungetoa solution hiyo hela ya lodge angekupa wewe unataka alipie lodge na hapo hapo unataka akuchie hela. Kama vipi ungempeleka ghetto lako au kwa shosti wako nadhani hiyo ya lodge ingekuwa yako.ni kweli anaweza kuwa hana hela za kuingia gharama mara mbili yaani ya lodge na kukupa wewe so hapo nikuchagua sasando nawaza ametoa wap sasa
10k au 100kMbadililike
Mwanaume hataki
hkelele.
ujinga
Dharau
ushenzj
Else tutakesha sana lwenye Lodge kutafuta amani
M mkewangu akizingua hata siagi naenda kawe nakamataa katoto kamoto nakapa 10k mpaka asbh na kama kana simu nazima maana sitaki usumbufu
SAY NO TO RAPE : Incidents of sexual violence, particularly rape and defilement against students, have been on the rise in various areashabari za weekend wana Jf, hope mko salama wote
Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo
hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….
huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….
hebu mje mniambie 😂
sawaSAY NO TO RAPE : Incidents of sexual violence, particularly rape and defilement against students, have been on the rise in various areas
duh<10000
9999
8900
7000
Nk