nicholous mella
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 312
- 162
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna binadamu ambaye hafai kwa asili yake.
Sasaaa pauloo alikwambia ukitakaa umuabudu mungu vzuriii usioe na coo usiolewee xaxaaa!!! Hii ina maan gan kam co wanawakee n nuksii 2uuuuu!!!!Hakuna binadamu ambaye hafai kwa asili yake.
Matendo ya mtu ndiyo yanayo muonesha kama ana faa au hafai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umenenaHua mnasoma biblia za wapi ndugu zangu?
Wakorintho wa kwanza 7:1-4 inasema hivi
1. Basi kuhusu mambo ambayo mliandika habari zake, ni vema mwanamume asimguse mwanamke
2. lakini, kwa sababu ya kuenea kwa uasherati, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
3. Mume na ampe mke wake haki yake; lakini mke pia na amfanyie vivyo hivyo mume wake.
4. Mke hana mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali mume wake anayo; vivyo hivyo, pia, mume hana mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali mke wake anayo
1Wakorintho 6:9kidogo nimesahahu andiko ila naahidi kulileta once nikilipata
linasema hiv waziwazi wala mwasherati wala mzinzi hawatourithi ufalme Wa Mungu hakutaja jinsia hapa alisema in general
nini maana ya uasherati?
Na nini maana ya uzinzi?
Kwa kifupi biblia hairuhusu tarakarai na ombi langu lilikuwa ni mstari au neno lipi katika Biblia linalomruhusu Mke aliyeolewa kumtaliki Mumewe kwasababu amezini.
🤣🤣🤣🤣Hizi zote ulizoandika tunaziita Mboyoyo....!
Naam... kwasababu ni mtazamo wako.
Mimi sijahitaji Mboyoyo...nimehitaji Mistari ya Biblia inayomuamuru Mwanamke kumuacha Mume wake kwa ajili ya uzinzi.
Unamaanisha hakuna mahala au mstari wa Biblia unaompa ruhusa Mume kumuacha Mke kwaaababu ya Uzinzi?🤣🤣🤣🤣
Nimekuelewa .
Yani mawazo yako ni haya.
Mume anaweza kumuacha mke kwa sababu ya uzinzi.
Ila mke Haruhusiwi kumuacha mume kwa sababu ya uzinzi.
Shortly BIBLIA TAKATIFU maneno yake yamekataza uzinzi,
Na pia MUME kumuacha mke wake kwa sababu yoyote na mke kumuacha mume wake kwa sababu yoyote Hilo hapana.
NdioWe mpagani!?
Hakuna.Unamaanisha hakuna mahala au mstari wa Biblia unaompa ruhusa Mume kumuacha Mke kwaaababu ya Uzinzi?