Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
- Thread starter
- #101
Punguza povu dada yangu tujadili taaratibu.WAPI ULIAMBIWA MUNGU ANA JINSIA!?
yani mnajiaminishaga vitu vya kiwehuuuu!
ETI MUNGU ANAJITAMBULISHA KAMA MWANAUME!
Biblia mara nyingi sana imemtambua Mungu kama:
-Mungu BABA,
-BWANA Mungu
Sasa kuna BABA mwanamke?
Au kuna BWANA mwanamke?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na Biblia inasema hivii katika kitabu cha mwanzo...
"Na tumfanye Mtu kwa mfano wetu" kisha akaumbwa Adam.
Sasa kwanini tusiseme Mwanadamu mume (Yaani Adam) ni mfano wa Mungu?
Wewe huwa unasoma Biblia kweli?