Kwenu wanawake: Hakika, hakuna mstari wowote katika Biblia unaomwadhibu wanaume mwenye wake wengi

Kweli umenena
 
kidogo nimesahahu andiko ila naahidi kulileta once nikilipata

linasema hiv waziwazi wala mwasherati wala mzinzi hawatourithi ufalme Wa Mungu hakutaja jinsia hapa alisema in general

nini maana ya uasherati?
Na nini maana ya uzinzi?
1Wakorintho 6:9
 
Hizi zote ulizoandika tunaziita Mboyoyo....!

Naam... kwasababu ni mtazamo wako.

Mimi sijahitaji Mboyoyo...nimehitaji Mistari ya Biblia inayomuamuru Mwanamke kumuacha Mume wake kwa ajili ya uzinzi.
🀣🀣🀣🀣
Nimekuelewa .
Yani mawazo yako ni haya.

Mume anaweza kumuacha mke kwa sababu ya uzinzi.
Ila mke Haruhusiwi kumuacha mume kwa sababu ya uzinzi.

Shortly BIBLIA TAKATIFU maneno yake yamekataza uzinzi,
Na pia MUME kumuacha mke wake kwa sababu yoyote na mke kumuacha mume wake kwa sababu yoyote Hilo hapana.
 
Unamaanisha hakuna mahala au mstari wa Biblia unaompa ruhusa Mume kumuacha Mke kwaaababu ya Uzinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…