Mambo vp wadau
Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida.
Kwa kweli kama mwanaume sio mvumilivu unaweza ukapasua mtu kwa kipigo 😂😂 na usiombe mwanamke mimba yake ikukatae utaskia unambiwa kila wakati unanuka hata kama muda huo ndo umetoka kuoga. Dressing table imejaa manukato tena ambayo amenunua mwenyewe ila yote ameyaondoa na kuyaficha utaskia yananukia vibaya ok unaamua kuvaa nguo bila ya kutia manukato pia utaskia hizo nguo zinanuka harufu ya kabati siipendii ilimradi kisirani tu 😁😂
Kwenye kula hapo ndio mtihanii walahi 😂 mara utasikia nataka pilau ukimletea ataliangalia tu na kukwambia silitaki.
Imefikia hatua wife nyumba anaichukia kiasi kwamba akiingia ndani tu anatapika now imebidi arudi kwao.
Hivi wanawake hiyo hali mnashindwa kui control au ndo kujiendekeza?