Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

Sasa kwa nini mnaleta kisirani tu?Kwa nini isiwe kinyume chake?
Hata hatuelewi, napenda sana nyama nikiwa hali hiyo sizitamani hata kuziona napenda maharage na ukila nyama mbele yangu nakuona kama jini, chipsi napenda nile Kiporo nazinunu usiku nazilaza kwenye fridge mtu akila naweza lia msiba asubuhii yaani sielewi jaman hatujifanyishi .
 
Hiki kipengele cha mimba ilitakiwa Muumba afanye namna tuwe tunakishea kama tulivoshirikiana vema kuiweka hiyo mimba....kuna vitu hata ukielezwa huvielewi na hata anaefanya nae haelewi.
Yote kwa yote mimba sio ugonjwa mnajiendekez t bhn
 
Me nahic na kujiendekeza inachangia bhn
Km anatapika basi hamna maigizo hapo. Yaani mtu ajiendekeze au aigize kutapika!!!?

Mie ujauzito wa mwanzo nikitapiika mpk nyongo. Hizo perfume na lotion zote nilificha na nyengine nilizigawa wakati nilizinunua kwa mapenzi yangu tena bei ghali.

Maji nikinywa nisije nikafa tu.

Huyo mwenzio yupo kwenye subra kubwa Huna budi na wewe kuwa na subra kwa anayoyafanya
 
Tatizo siku hizi watu wanapenda kuwadekeza sana wake zao na wao wanatumia mwanya huo kuleta usumbufu usio wa lazima

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wengine hujaaliwa kuwa kinyume chake.

Wanawake tunapitia mabadiliko mengi ya kimwili. Ndio maana kuna wanawake hata wakiwa kwenye period huwa na kisirani
 
Ni mapokeo tu hayo!

Mara nyingi akipata mume wa kumdekea.

Mbona wakiwa single hawadeki wala nini?

Yatima amdekee nani? [emoji2369]
 
Km anatapika basi hamna maigizo hapo. Yaani mtu ajiendekeze au aigize kutapika!!!?

Mie ujauzito wa mwanzo nikitapiika mpk nyongo. Hizo perfume na lotion zote nilificha na nyengine nilizigawa wakati nilizinunua kwa mapenzi yangu tena bei ghali.

Maji nikinywa nisije nikafa tu.

Huyo mwenzio yupo kwenye subra kubwa Huna budi na wewe kuwa na subra kwa anayoyafanya
No hatujazungumzia kuhuc kuumwa ama kutapika tunazungumzia kama ile hali ya kuforce chakula fulani na kama hujampatia mtu inakua ugomvi mkubwa na vilio juu so kama si kujiendekez ni nin? Kwan mtu akikosa icho kitu kwa mda uwo atakufa au?
 
Asiyejua maana haambiwi maana....unadhani kuleta Maisha duniani ni jambo lelemama??mheshimu Sana mjazito na msaidie panapobidi......Ujauzito Ni nusu ya kifo
 
Asiyejua maana haambiwi maana....unadhani kuleta Maisha duniani ni jambo lelemama??mheshimu Sana mjazito na msaidie panapobidi......Ujauzito Ni nusu ya kifo
Ujauzito ni nusu ya kifo pale wakat wa kuzaa tu. Wanawake mupunguze mideko
 
Back
Top Bottom