Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

sankara25

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
389
Reaction score
789
Mambo vp wadau

Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida.

Kwa kweli kama mwanaume sio mvumilivu unaweza ukapasua mtu kwa kipigo πŸ˜‚πŸ˜‚ na usiombe mwanamke mimba yake ikukatae utaskia unambiwa kila wakati unanuka hata kama muda huo ndo umetoka kuoga. Dressing table imejaa manukato tena ambayo amenunua mwenyewe ila yote ameyaondoa na kuyaficha utaskia yananukia vibaya ok unaamua kuvaa nguo bila ya kutia manukato pia utaskia hizo nguo zinanuka harufu ya kabati siipendii ilimradi kisirani tu πŸ˜πŸ˜‚

Kwenye kula hapo ndio mtihanii walahi πŸ˜‚ mara utasikia nataka pilau ukimletea ataliangalia tu na kukwambia silitaki.

Imefikia hatua wife nyumba anaichukia kiasi kwamba akiingia ndani tu anatapika now imebidi arudi kwao.
Hivi wanawake hiyo hali mnashindwa kui control au ndo kujiendekeza?
 
Kubeba kiumbe kinachokuwa ndani ya mwili 9months unaona mtu anaigiza?

Mbona mabadiliko ya mwili hamsemi anaigiza?
Yaaan wanawake bhn utakuta wanalalamika kanakwamba mimba ni ugonjwa labda kila siku humwambia wife kuwa mimba sio ugonjwa mengine wanatuigizia bhn
 
Duuh πŸ˜€
 
Kwa hao wajawazito kuna mambo kadhaa nimekutana nayo kwa wanawake wawili, ila samahani kama ntakuwa nimewakwaza wanawake kwa ujumla.

Ni hivi wasichana wawili walikuwa na mimba sehemu fulani ivi ya kufanyiwa kazi na sasa Kuna wengine wawili wale wa mwanzo washajifungu tangu mwaka Jana mwisho ila sasa wapo wawili..ishu ni ivi hao wasichana kipind cha mimba Kuna harufu kama ya madawa ya hospital wananuka unaweza kutapika wako ovyo ovyo harufu ya kinyaa mmoja mpaka mdomo unatema .

Kwa sasa Kuna wawili Wana mimba mmoja yuko poa Tena tumbo kubwa ila hana harufu wala ila mwingine ananuka kama wale wa mwanza ukipishana nae unanukia madwa ya hospital yaani kinyaa..

Tatizo n nn kwa wajuzi?
 
Mwingine shemeji yake alikula samaki wake...sasa ile anakuta samaki hakuna ikabidi vianze vilio...saa sita usiku ikabidi samaki watafutwe Ili kesi iishe

We nyokoooo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#YNWA
 
Mwingine shemeji yake alikula samaki wake...sasa ile anakuta samaki hakuna ikabidi vianze vilio...saa sita usiku ikabidi samaki watafutwe Ili kesi iishe

Asilimia kubwa ya wajawazito huwa wanalia yaani anaweza akaamka tu machozi haya hapa

Mwishoni kuna namna mwili unakuwa mtu anajisikia hovyo, wengi hasira zao hizi tia kwa kulia
 

Nadhani ungewauliza
 
Tatizo siku hizi watu wanapenda kuwadekeza sana wake zao na wao wanatumia mwanya huo kuleta usumbufu usio wa lazima

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…