Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

Nikweli
 
Yani mimba ni kitu Cha ajabu sana unaweza ukachukia chakula ulichokua unakipenda Sana na usile mpaka unajifungua unaweza ukachukia mtu na ukawa na hasira nae bila sababu ya msingi ila hiyo Hali mara nyingi mimba ikiwa changa
 
Unakuta mwanamke haishi nongwa Kisa tu Eti Mjamzito [emoji848][emoji848]

Kwani mimba ni ugonjwa?

Basi nakwambia Mwanaume wa watu atakosa raha kila wakati roho juu kununiwa na visirani utasema kitu gani!

Yani family members wote ni hekaheka mpaka huyo bibi atakapojifungua ndio washushe pumzi!
 
Kiukwel wanawake wanapenda kudeka mpak wanakera haswaa wife nona ndo kazidi yeye inafikia hatua ata akiumwa kwel nakuwa simuamini nahic anadeka tu
 
Mimba ya kwanza ya mke wangu ilikuwa ni pasua kichwa. Alikuwa hataki nilale kabla ya yeye kusinzia. Akiamka usiku, ananiamsha na mimi, mpaka asinzie kwanza ndo na mimi nilale. Siku nyingine alikuwa ananifosi nimwimbie nyimbo za kindagaten, eti mtoto wetu anafurahia kuzisikiliza
 



[emoji38][emoji38]

Mapokeo tu hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…