Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Kila raheli mama hukatazwi .... Ila usije ukakuta wa nje anamautundu kukushinda na ndio ikawa tiketi yako ya kuachana na huyo umpendae ..... Safari njema
Mimi ni mke; nafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu. Sina muda wa kukaa na kujilinganisha na mwanamke mwingine. Cheating is a choice; msisingizie madhaifu ya wake zenu. Kwa sababu hata nyie mna madhaifu; na cheating haijawahi kuwa solution. Yes if he gives me a reason to leave; I will surely leave. Sina sababu ya kufa kisa ndoa
 
Simu sio Community property ni mali ya individual..., mtu kuichukua na kuchunguza ni kukosa busara....

Hata kama wewe na mwenza wako mmekubalina na mna hii tabia ya ajabu basi jueni hamtendei haki third party aliyetuma hizo info / sms angetaka kutuma ili nyote msome au msikie angeforward kwa wote au kutoa tangazo gazetini....

In short watu wa hivyo they need to find a hobbie....
 
Comment isiokuwa na Unafki ndani yake 😍
 
Nilipokuwa 20 to 21 ndio niliona bora nisishike simu ya mzee ila mzee anashika simu yangu wewe eti sikuamini wah huyu naye ..

Sioni sababu ila nawapa elimu hii wanandoa sana sana wanaume .
1. Sio sifa kuwa na michepuko ni mbaya inaleta mikosi ndani ya familia .
2. Usiwe na dharau kwa mwanamke aliyejitoa kwako inamaanisha yule aliyekuona unamfaa katika maisha yake .
Ambaye anakuheshimu, kukujali nakukuvumilia madhaifu yako kukusitiri.
3. Usidhubutu kumwoneshea mkeo kuwa wewe unawanawake njee na yeye ndiye anajikomba wakati kaenda leba kwa ajili ya mbegu yako ili uitwe baba.
4. Heshimu ndoa , muheshimu yeye napenda san kuheshimu familia yako.
5. Daima kumbuka anayekupenda ni mmoja na wawili nanihawa mama na mkeo tu . Ndio wanawake wawili ulionao katika maisha haya jaribu kumuheshimu.
6. Isipite hata siku moja kumtukana mkeo kumtukana umuite maneno ya kipuuzi nahuku ndio analinda familia yako.
Anaihudumia je akikuulia watoto wako , mama yako na ndugu waliokuja kukusalimu kwa sumu utafanya nini??
7. Isipite siku hujawahi mwambia maneno mazuri .
8. Umalaya sio dili tulia tunza familia maisha yenyewe ndoo haya sina jingine usiku mwema
 
Wanajua kilichopo humo ndani; so wanaamua kuishi kwa matumaini.
Ningumu kutokagua ila ukiikagua utaenda tafuta danga yaani nakumbuka nilikuwa nafukuzia simu ya mzee napia simu ya mzee yaani tunapiganaga mpaka nilimtoa meno na stuli walahi ila nilikuja waza nikaona kama mama yake amemshindwa akanipasishia mimi iweje mie ndio niumize kichwa kisa simu tu nikaacha waleo nope .

Hata kwahisia tu hapana.
 
Cha msingi tuache uzinzi, simu hazina shida yoyote. Na inapofika mahali mwenza wako anakuwa free na simu yake, hata wewe kuna muda unakuwa huna habari nayo kabisa. Sasa mtu akifika tu home simu silent; imagine mume anaweka password ili mke asishike simu. Hiyo ni ndoa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…