Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yake. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu.

Ntamlinda kwa maombi na kwa "mbwinu" nyingine zozote nazoweza including kufuatilia nyendo zake.
Umeongea sahihi sana, ila kuna baadhi ya watu wataka kuwaaminisha watu kuwa uzinzi kwa mwanaume ni urijali tena wanashawishiana sana.kama tabia yako n uzinzi endelea nayo maana ndivyo ulivyochagua kuishi hivyo.
 
Mimi ni mke; nafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu. Sina muda wa kukaa na kujilinganisha na mwanamke mwingine. Cheating is a choice; msisingizie madhaifu ya wake zenu. Kwa sababu hata nyie mna madhaifu; na cheating haijawahi kuwa solution. Yes if he gives me a reason to leave; I will surely leave. Sina sababu ya kufa kisa ndoa
Halafu huwa wanasingizia hilo tu
 
Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yake. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu.

Ntamlinda kwa maombi na kwa "mbwinu" nyingine zozote nazoweza including kufuatilia nyendo zake.
Na wa hivi mna bahati ya kupata waume wazembe.

Mwanaume aliekamilika hawezi kuwekwa chini ya uangalizi na cm hafichi ila ndo ujipange
 
Ni vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...

Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...

Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...

Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...

Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.
Wewe umekamilika kibinadam barikiwa
 
Wewe mwanaume wa hovyo.. nanwi kwakwambia mwanamke awe hivyo!!! Wewe ndio mal**ya, umekujaa uchafu sana.. ni kama jinamwizi.. unafikirwi upo wewe tu duniani.. humwezi ndoa acha mke na nyie hamjaoa.. mwamuona mutenda dhambi huyu!!
 
Habari kwenu ....!

Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwakwe na familia yake.

Hii tabia ya kufanywa mke unaacha majukumu yako ya uku unajipa kazi ya u FBI kuanza kumchunguza utafikiri anauza madawa ya kulevya Kuna siku utapigwa na kitu na hauta jua ufanye nini .

Fanya hivyo endapo unamtafutia sababu ya kuachana Ila Kama unatafuta sababu ya kujenga ndoa yako jiweke mbali na vitu ambavyo hajataka uvione ikiwemo simu.

Nakuambia siku utakayo kuta meseji au picha kwenye simu ya mumeo itakayo kuumiza kaa ukijua hauta pona kamwe ndio utakua mwanzo wa maumivu yako na kuharibikiwa kwako na familia yako ....trust me hauta pona kamwe .....

Simu ya mmeo achana nayo fanya yako hayo hayakuhusu yatakuumiza maisha yako na utaumia haswa na hauta jua ufanye nini...?

Kuna wimbi kubwa la wanawake wamejikuta wanaishia kwenye umalaya kisa tu walisoma meseji na kuwa disappointed kwa walio yakuta na kuishia kuharibu familia zao.

NB
......Kama mmeo anajari familia na wewe mwenyewe inatosha Sana wewe kuwa na furaha na kuimarisha familia yako.....

......jifanye mbishi Ila trust me utaumia,utalia na hauta pona kamwe....
Onyo hili ulilotoa ni kali mno kwao, kwangu naona ni bora kujuwa ukweli ili mzozane na yaish lakini kukaa tu na kuhisi labda au pengine naona ni mbaya zaidi kwani mtu anaweza changanikiwa.
 
Habari kwenu ....!

Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwakwe na familia yake.

Hii tabia ya kufanywa mke unaacha majukumu yako ya uku unajipa kazi ya u FBI kuanza kumchunguza utafikiri anauza madawa ya kulevya Kuna siku utapigwa na kitu na hauta jua ufanye nini .

Fanya hivyo endapo unamtafutia sababu ya kuachana Ila Kama unatafuta sababu ya kujenga ndoa yako jiweke mbali na vitu ambavyo hajataka uvione ikiwemo simu.

Nakuambia siku utakayo kuta meseji au picha kwenye simu ya mumeo itakayo kuumiza kaa ukijua hauta pona kamwe ndio utakua mwanzo wa maumivu yako na kuharibikiwa kwako na familia yako ....trust me hauta pona kamwe .....

Simu ya mmeo achana nayo fanya yako hayo hayakuhusu yatakuumiza maisha yako na utaumia haswa na hauta jua ufanye nini...?

Kuna wimbi kubwa la wanawake wamejikuta wanaishia kwenye umalaya kisa tu walisoma meseji na kuwa disappointed kwa walio yakuta na kuishia kuharibu familia zao.

NB
......Kama mmeo anajari familia na wewe mwenyewe inatosha Sana wewe kuwa na furaha na kuimarisha familia yako.....

......jifanye mbishi Ila trust me utaumia,utalia na hauta pona kamwe....
Watanzania/waafrika kwa ujumla hasa wanaume tuache kutumia ndoa kama sympathy pale ni mnaingia mkataba wenye equal terms and conditions sasa hiyo sijui "ukiona umeolewa....bla ....bla ...bla " haina mantiki.

Ana haki ya kukuchunguza akiona hauelekei na wewe una haki hiyo pia tuache kuona kama ndoa ni zawadi anayopewa mwanamke na bila hivyo hawezi survive.

N.b
UNAHITAJI KUKUA KIAKILI KWANZA BADILI MITAZAMO HASI.
 
Ni vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...

Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...

Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...

Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...

Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.
Amen. This is powerful.
 
Oyyyy wanaume kale kaa app ketu ka calculator lock pro vipi ukifika karibu na home toooo wahatsaaap, gmessage na viapp app vingine unavitupia humo mkee atatafuta mpaka jasho la meno haoni kitu
 
Kushika simu ya mtu si jambo zuri sana, especially kwa wapenzi so inaweza leta ugomvi ni vyema kila mtu awe na simu yake kuepusha ugomvi na taflani za apa na pale
 
Wewe mwanaume wa hovyo.. nanwi kwakwambia mwanamke awe hivyo!!! Wewe ndio mal**ya, umekujaa uchafu sana.. ni kama jinamwizi.. unafikirwi upo wewe tu duniani.. humwezi ndoa acha mke na nyie hamjaoa.. mwamuona mutenda dhambi huyu!!
Ukimaliza kutoa povu ...acha kushika simu ya mmeo
 
Watanzania/waafrika kwa ujumla hasa wanaume tuache kutumia ndoa kama sympathy pale ni mnaingia mkataba wenye equal terms and conditions sasa hiyo sijui "ukiona umeolewa....bla ....bla ...bla " haina mantiki.

Ana haki ya kukuchunguza akiona hauelekei na wewe una haki hiyo pia tuache kuona kama ndoa ni zawadi anayopewa mwanamke na bika hivyo hawezi survive.

N.b
UNAHITAJI KUKUA KIAKILI KWANZA BADILI MITAZAMO HASI.
Hivi unawezaje kuanika Mambo yako yote kwa mtu ambaye ndani ya dakika moja anaweza kuwa adui yako.....? Wewe sio mwanaume
 
Back
Top Bottom