Kwenu wanawake!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Kuna katabia kimezuka kwenu nyinyi.
Wanawake kuwanyimma unyumba waume zenu, mnawazaga nini mpaka inafikia huko?
Utakuta mumeo umpi mbunye wiki mbili au mwezi nzima unategemea nini mwanamke
Nikitoka nje kutafuta nyumba ndogo, unaanza kulia, kinachokuliza ni nini haswa... Wakati umeyataka mwenyewe.
Pambana na hali zako!
 
Oya tumechoka mada zenu [emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️
Pita tu mkuu kama vipi niku ignore
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Ndio maisha mkuu ndio maana vidole avilingani kaka

Yeah na kweli!

Ila ngono nadhani watu huwa wanai overrate sana.

It’s not like ukiikosa ndo itakuwa kiama.

Ukiikosa leo, fine. You will live to have another opportunity another day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…