Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Kuna katabia kimezuka kwenu nyinyi.
Wanawake kuwanyimma unyumba waume zenu, mnawazaga nini mpaka inafikia huko?
Utakuta mumeo umpi mbunye wiki mbili au mwezi nzima unategemea nini mwanamke
Nikitoka nje kutafuta nyumba ndogo, unaanza kulia, kinachokuliza ni nini haswa... Wakati umeyataka mwenyewe.
Pambana na hali zako!