Kwenu wanawake!

Mnawaudhi sana wake zenu! ni haki wawanyime tu hadi mjirekebishe..
 
Mnawaudhi sana wake zenu! ni haki wawanyime tu hadi mjirekebishe..
Duuh acha roho mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa. Ila kaongea kweli ujue sababu Injini isingekuwa moto asingeandika uzi wa ulalamishi kiasi hiki.

Angekubaliana na hali kimya kimya.
Mtu unalaliwa mzungu wa nne kama mpo rumande, kumbe mke na mume noma sana mkuu
 
Hahahaaa. Itakuwa kipo kinachosababisha Mkuu haiwezekani mke na mume wakalala mzungu wa nne pasi sababu.
Umeona eee, murongo na murozi ni watu wa kuchoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…