Kwenu wanawake!

Kwenu wanawake!

Mnawaudhi sana wake zenu! ni haki wawanyime tu hadi mjirekebishe..
Duuh acha roho mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa. Ila kaongea kweli ujue sababu Injini isingekuwa moto asingeandika uzi wa ulalamishi kiasi hiki.

Angekubaliana na hali kimya kimya.
Mtu unalaliwa mzungu wa nne kama mpo rumande, kumbe mke na mume noma sana mkuu
 
khakhakhaaaaaaa mtoa mada kanyimwa kitumbua lol!
Vitumbua viko vingi hivyo mahondaw:
Akikunyima una mkaushia tu.
FB_IMG_1522940113142.jpg
 
Back
Top Bottom