paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Utakufa na wivu wewe!!! Kama vipi na wewe kaimbe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia wasanii wakisema eti sisi wasanii ni kioo cha jamii na tunaelimisha jamii.Ukijiuliza wanaelimisha nini wakati wao wenyewe hawana elimu.Wanapigana miti hovyo hovyo bila kujali maadili wanatumia shisha pombe,mirungi na hatimae wemgine hufa au kuumwa mfano feruzi ,ngwair nkKwanza mambo ya bongo fleva bongo movie ndy ya nafanya Watoto wetu wadumae akili.
Sahivi nguvu nyingi imekuwa invested huko. Kila Aina mtu, Watoto akili zao ziko kibongo fleva fleva.
Kuhusu wasanii Kuingia kwenye kupigia kampeni CCM mm naona ni njaa zao!
Kwanza huwa najiuliza Hawa wasanii Wana impact gani kwa jamii Wana rudisha nn pia kwa jamii, zaidi ya madharau tu.
Ova
Na kazi au nyimbo zao wakaziimbe DodomaKwenu wasanii wa Tanzania na Bongo Fleva. Sisi Watanzania wengine tusiopendezwa na mambo ya Chama cha Mapinduzi tumeona mwenendo wenu. Tumeona hakuna shida kwa mujibu wa katiba, mko sahihi.
Siasa zinapita. Sanaa yenu naamini mtapenda ibaki ikipendwa na sisi Watanzania wote.
Wazungu husema;
Scrach my back and I will scrach yours:
Msiige ya USA kina Jay Z; wenzetu wako mbali kidemokrasia sana. Hata aingie nani sanaa yake haitapigwa pini kama ataenda kinyume na INCUMBENT, yaani kiongozi alieko madarakani.
Tunawashukuru sana wanamuziki ambao mmeamua kuwa upande wa CCM, ni Uhuru wenu, ila uchaguzi ukiisha kila mtu akale alipopeleka mboga.
Asanteni.