Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri
mazingira tunayo yakuta huko misibani
kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake
Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa vile chakula kilikuwa hakitoshi nk
Tuvumiliane tuwe na utu sio wote wametoka katika familia bora
Nb
hivi kuna ulazima kubebana na watu lukuki endapo msiba umetokea mkoani??