Kwenu wasindikiza misiba na wafiwa mikoani

Kinachotuhukumu ni back ground zetu wakati tukiwa wazima,unakuta mshkaji nilikuwa nakesha bar nabadili wanawake gari kali japo za mkopo sometimes nakula pombe na washkaji huku nagombania ku-clear bills za vinywaji.

Ktk mazingira kama haya hata ninaotumia nao wataamini jamaa yupo vizuri kwao hamna shida kasheshe siku nakata moto marafiki wahuzunika kwa kujali tu wanaenda kwetu kunizika mzee hahah,papendeni kwenu ni aibu mnafika msiba wa jamaa town alikuwa kibopa kwao anaenda kushushwa chini ya mwembe usiombe iwe wakati wa kiangazi maana hata miti nayo itamkataa.
Noma sana
 
let say unaishi dar, ukifa ukazikwa huko kuna ndugu zako wengi hawatakuja, hawataliona kaburi lako. Kuzikwa mbali na ndugu zako wengi ni sawa na kuzikwa kusikojulikana. Pale dar labda uwe na uwezo kifedha walau kaburi lako lijengewe ili lisipotee muda mrefu kuna ndugu watajikongoja kuja dar kuona ulikozikwa. Kuzikwa nyumbani unakotoka ni bora
Kuonekana au kutoonekana kaburi na ndugu zako kunafaida au hasara gani!
 
Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri
mazingira tunayo yakuta huko misibani
kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake

Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa vile chakula kilikuwa hakitoshi nk
Tuvumiliane tuwe na utu sio wote wametoka katika familia bora
Nb
hivi kuna ulazima kubebana na watu lukuki endapo msiba umetokea mkoani??
Mmekaa Mjini kazi ni kunywa bia na mademu mkipata ngoma mkafa hamtaki tuelezee hali halisi ya huko kwenu???

Ponda Raha sana, sahau kwenu. Siku ukifa tutakunanga sana
 
Sawa hata wew watakunanga pia hakuna aliye mkamilifu
 
Kuonekana au kutoonekana kaburi na ndugu zako kunafaida au hasara gani!
ndugu wakiona kaburi hupunguza majozi na huzuni, ufe halafu ndugu hawaoni kaburi ni huzuni kubwa muda mrefu. Nyie kwenu huwa mnachomwa moto hadi mmbaki majivu yakatupwe baharini?
 
Kuna mkuu mmoja Maj Gen mmoja hivi ilibidi SUMA JKT watumwe kwao kwanza kuweka hata rangi kwenye kuta zilizo katika katika huko kwa babake ndio akazikwe hakuwa na nyumba wala chumba

USSR
Maisha magumu sana,kama alikuwa muadilifu,hiyo inawezekana kabisa
 
Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri
mazingira tunayo yakuta huko misibani
kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake

Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa vile chakula kilikuwa hakitoshi nk
Tuvumiliane tuwe na utu sio wote wametoka katika familia bora
Nb
hivi kuna ulazima kubebana na watu lukuki endapo msiba umetokea mkoani??
Kwanini mkiwa huku mjini mnaigiza maisha Na kujifanya ni wa bei mbaya ....mama yako umeshindwa kumnunulia kitanda Na godoro zuri,?
 
Kinachotuhukumu ni back ground zetu wakati tukiwa wazima,unakuta mshkaji nilikuwa nakesha bar nabadili wanawake gari kali japo za mkopo sometimes nakula pombe na washkaji huku nagombania ku-clear bills za vinywaji.

Ktk mazingira kama haya hata ninaotumia nao wataamini jamaa yupo vizuri kwao hamna shida kasheshe siku nakata moto marafiki wahuzunika kwa kujali tu wanaenda kwetu kunizika mzee hahah,papendeni kwenu ni aibu mnafika msiba wa jamaa town alikuwa kibopa kwao anaenda kushushwa chini ya mwembe usiombe iwe wakati wa kiangazi maana hata miti nayo itamkataa.
Sio miti tu hata ardhi inakukataa
 
Back
Top Bottom