Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna faida gani ya kutunza kaburi?let say unaishi dar, ukifa ukazikwa huko kuna ndugu zako wengi hawatakuja, hawataliona kaburi lako. Kuzikwa mbali na ndugu zako wengi ni sawa na kuzikwa kusikojulikana. Pale dar labda uwe na uwezo kifedha walau kaburi lako lijengewe ili lisipotee muda mrefu kuna ndugu watajikongoja kuja dar kuona ulikozikwa. Kuzikwa nyumbani unakotoka ni bora
Migomba ipi yenye lami ?endelea kudaganya wajinga , huoni mnakodi bulldozer hiyo lami mutoe wapi ?Hii makitu hutawahi kukuta moshi. Lami hadi migombani.
Ukibisha ingia Google street map maamaee.
Nyau de adriz
Umeshakutwa naa bwana Pepsi unajitetea nini. Kama mlihama toka zamani mmerudi kufanya nini..?? Hio aibu ibebeni. Ndo tulivyo binadam.. kujenga utakapozikwa ni muhimu sana huwez kuzuia binadam kuongea by thenNilifiwa na ndugu yangu dar, msiba ukaletwa mkoani kwetu kuzikwa kijijini. Pale kijijini hatuna nyumba ila shamba tu ambako huwa tunazika wanafamilia. Jirani na eneo letu kuna vijumba vya slope vimechakaa japo majirani wanaishi ndani ya vijumba hivyo. Wasindikiza msiba toka dar na kwingine walianza kukandia eti inakuwaje marehemu alijenga jumba la kifahari dar lakini nyumbani kwao asijenge hata kibanda cha kufikia? Wasindikiza wafiwa walianza kuhusisha vijumba vile kuwa ndio nyumbani kwa marehemu ikabidi tuwaambie hapa tulihama kitambo sana enzi tukiwa wadogo na tuna mpango wa kujenga nyumba ya maana hapa ili tuwe na pa kufikia tukitoka mikoani kunako mishe zetu. Wasindikiza wafiwa wana tabia ya kuchunguza nyumbani kwao na marehemu kuna nini cha maana walinganishe na huko dar alivyonavyo
Hapana, huo ni uzamami, zikwa ulipo hukohukolet say unaishi dar, ukifa ukazikwa huko kuna ndugu zako wengi hawatakuja, hawataliona kaburi lako. Kuzikwa mbali na ndugu zako wengi ni sawa na kuzikwa kusikojulikana. Pale dar labda uwe na uwezo kifedha walau kaburi lako lijengewe ili lisipotee muda mrefu kuna ndugu watajikongoja kuja dar kuona ulikozikwa. Kuzikwa nyumbani unakotoka ni bora
Tanga?Nilifiwa na ndugu yangu dar, msiba ukaletwa mkoani kwetu kuzikwa kijijini. Pale kijijini hatuna nyumba ila shamba tu ambako huwa tunazika wanafamilia. Jirani na eneo letu kuna vijumba vya slope vimechakaa japo majirani wanaishi ndani ya vijumba hivyo. Wasindikiza msiba toka dar na kwingine walianza kukandia eti inakuwaje marehemu alijenga jumba la kifahari dar lakini nyumbani kwao asijenge hata kibanda cha kufikia? Wasindikiza wafiwa walianza kuhusisha vijumba vile kuwa ndio nyumbani kwa marehemu ikabidi tuwaambie hapa tulihama kitambo sana enzi tukiwa wadogo na tuna mpango wa kujenga nyumba ya maana hapa ili tuwe na pa kufikia tukitoka mikoani kunako mishe zetu. Wasindikiza wafiwa wana tabia ya kuchunguza nyumbani kwao na marehemu kuna nini cha maana walinganishe na huko dar alivyonavyo
Ujumbe mzuri sana aiseeTujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri
mazingira tunayo yakuta huko misibani
kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake
Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa vile chakula kilikuwa hakitoshi nk
Tuvumiliane tuwe na utu sio wote wametoka katika familia bora
Nb
hivi kuna ulazima kubebana na watu lukuki endapo msiba umetokea mkoani??
Haya mambo inategemea na marehemu show off alizokuwa anawafanyia alipokuwa hai.Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri
mazingira tunayo yakuta huko misibani
kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake
Enyi wasindikizaji wa wafiwa kuweni na vifua haipendizi kuanza kutangaza vijumba viko hivyi choo kilikuwa vile chakula kilikuwa hakitoshi nk
Tuvumiliane tuwe na utu sio wote wametoka katika familia bora
Nb
hivi kuna ulazima kubebana na watu lukuki endapo msiba umetokea mkoani??
Halafu abiria ni CCM ... Vumilieni tuMigomba ipi yenye lami ?endelea kudaganya wajinga , huoni mnakodi bulldozer hiyo lami mutoe wapi ?
View: https://youtu.be/gIW0gGjN7FY?si=Q9iLkKVrfZEhq4es
Mtu amekula kiapo Cha kifo atakumbuka kujenga kwao au kutibu kwanza msongo wa mawazo wa kiapo hicho Kwa totozi na gambe!!?Kuna mkuu mmoja Maj Gen mmoja hivi ilibidi SUMA JKT watumwe kwao kwanza kuweka hata rangi kwenye kuta zilizo katika katika huko kwa babake ndio akazikwe hakuwa na nyumba wala chumba
USSR
let say unaishi dar, ukifa ukazikwa huko kuna ndugu zako wengi hawatakuja, hawataliona kaburi lako. Kuzikwa mbali na ndugu zako wengi ni sawa na kuzikwa kusikojulikana. Pale dar labda uwe na uwezo kifedha walau kaburi lako lijengewe ili lisipotee muda mrefu kuna ndugu watajikongoja kuja dar kuona ulikozikwa. Kuzikwa nyumbani unakotoka ni bora
Nilipashaangaga kwa Makamo wa Ben Mkapa hayat Dr Ali Juma ,kwao palikua pakinyonge mno kulinganisha na status yake ,na mbaya zaid kwa hadhi yake makamera yalikua hayakwepekiSio Tanzania nahisi ...Niliona hiyo story jamaa alijenga mjini ila kwao alipasahau.
Sio kuwajengea, hilo nakataa. Kama ni hela wanapata sana tu kwanini waishi maisha ya kujionesha mijini na wasahau kujenga makwao? Inatakiwa wakumbushwe hiki wanachokifanya huku mijini basi wakumbuke na makwao kwani huwa wanawapa watu cha kusema pale wanapohudhuria misiba yao. Siku hizi hata ukimkuta Askari aliyeajiriwa ndani ya miaka mitano tu unakuta tayari kwao alipotokea/kwa wazazi wake ameshawajengea.Mtu amekula kiapo Cha kifo atakumbuka kujenga kwao au kutibu kwanza msongo wa mawazo wa kiapo hicho Kwa totozi na gambe!!?
Kuna mambo mengine serikali iangalie namna ya kuwajengea Hawa jamaa nyumba huko makwao aiseh!
Tanga hawajambo huko mkuu?Kuna kitu watu hwataki kukisema lakini ukweli ni kwamba maisha ya kijijini yamejaa chuki na zongo saana kuna jamii ukianza kujenga nyumba kijijini kama haujajipanga walahi hautoweza kuingia kwenye hiyo nyumba ukiwa mzima ni jeneza tu ndiyo litaingizwa na hii imepelekea wengi kutokujenga nyumba ya maana kwao.
Huku kujijini kipindi cha nyuma hata ukitaka kusafiri hauagi unamuaga mama baba na ndg wa karbu saana na kuondoka unaondoka kama unafika tu kijiji cha jiran kumbe ndiyo unasepa hivo.
Lakini pia kingine ni uwezo. Unakuta mtu amejikongoja saana mpk akajenga nyumba mjin mpka aje ajenge nyingine kijijin inamchukua tena miaka kadhaa