Kwenu wasindikiza misiba na wafiwa mikoani

Noma sana
 
Kuonekana au kutoonekana kaburi na ndugu zako kunafaida au hasara gani!
 
Hebu jengeni kwenu acheni kujitetea.

Jenga hata vyumba viwili na choo weka mtu akae huko.

Ukiona vipi acha wosia .. nizikeni huku huku mjini..

Hapa nawaza nianze kuweka biti nikifa nizikwe makaburi kinondoni au hapa hapa shamba.
 
Mmekaa Mjini kazi ni kunywa bia na mademu mkipata ngoma mkafa hamtaki tuelezee hali halisi ya huko kwenu???

Ponda Raha sana, sahau kwenu. Siku ukifa tutakunanga sana
 
Mmekaa Mjini kazi ni kunywa bia na mademu mkipata ngoma mkafa hamtaki tuelezee hali halisi ya huko kwenu???

Ponda Raha sana, sahau kwenu. Siku ukifa tutakunanga sana
Sawa hata wew watakunanga pia hakuna aliye mkamilifu
 
Kuonekana au kutoonekana kaburi na ndugu zako kunafaida au hasara gani!
ndugu wakiona kaburi hupunguza majozi na huzuni, ufe halafu ndugu hawaoni kaburi ni huzuni kubwa muda mrefu. Nyie kwenu huwa mnachomwa moto hadi mmbaki majivu yakatupwe baharini?
 
Kuna mkuu mmoja Maj Gen mmoja hivi ilibidi SUMA JKT watumwe kwao kwanza kuweka hata rangi kwenye kuta zilizo katika katika huko kwa babake ndio akazikwe hakuwa na nyumba wala chumba

USSR
Maisha magumu sana,kama alikuwa muadilifu,hiyo inawezekana kabisa
 
Acheni uzembe, jengeni kwenu mijengo ya adabu.

Tia sofa, tv na vitu vya ndani.

Tukija kwenu tunakuja kukuona palivyo na unavyolinga.
 
Kwanini mkiwa huku mjini mnaigiza maisha Na kujifanya ni wa bei mbaya ....mama yako umeshindwa kumnunulia kitanda Na godoro zuri,?
 
Sio miti tu hata ardhi inakukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…